Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Huu mwaka badilika kwa kweli
 
Covid 19 wakihamia CCM chadema inanufaika kwa kuonekana kuwa imetoa maradhi kuwaambukiza CCM
Baada ya hapo,nyinyi kama wanaufipa mnanufaikaje?
👉Najua inauma Sana,kuachwa solemba na watu ambao ulikuwa unawaamini kama Mungu wako wa siasa za Tz.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] theluji yayeyuka.
Kamati ya fitina Slowslow anaenda kuwa waziri huko, ndiyo habari ijayo!!

Everyday is Saturday................................😎
Namuona kwa jicho la imani akiwa Waziri wa habari,utamaduni sanaa halikadhalika na michezo
 
Wakati wanaenda kuuza Utu wao hawakujua hilo?
Ila hoja nyingine bwana😂, kwahiyo kutowatambua kwako hapa jukwaani,kuna wapunguzia nini wao huko waliko?Huoni kama Ni swala la kupoteza muda wako tu.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Halima akihamia CCM nina uhakika atashine Sana. na mwili utarudi sasa. Atakua mdada wa kupendeza. Maana kuna vyama fulani mda wote huwa ni kupanic tu. Mpaka unapoteza na mvuto wa sura. Watu wanafanya kampeni wanaongea mpaka mishipa inawatoka bhana. Karibu CCM dada yetu Halima. Utumie elimu yako mahala sahihi. Huko unatumia elimu yako kupiga kelele tu maana watu wenyewe hawana ajenda wa hoja za msingi zaidi ya kupinga. Lakini CCM utatumia elimu yako kufanya kazi ipasavyo.
 
Kuhamia ccm waende tu ila 2trilion serikali bado itakosa maana PAC,LAAC NA LAC itakosa wenyeviti.
Imekula kwao
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
 
Wahamie CCM wakapewe ukurugenzi,ukuu wa wilaya etc.
Sio kizembe hivyo mkuu,ukumbuke ndani ya dili kinaweza kuibuka dili kingine.Vipi kama wametumwa kiaina na viongozi wa ufipa Ili kuingia serikali kiulaini?
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Domo refu kama chupa kazi umbeya tuuu !
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .

Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .

Usaliti ni laana
Kitendo cha baraza la wanawake kuwakataa na kukiomba chama kisiwarudishe tena kiwafute kimewakata maini sana saa hivi wamebaki ganzi kama mtu alopaka vumbi la drc
 
Makada wa chadema usaliti ndo jadai yenu. Hamuaminiki kabisa! We ulisikia wapi hata makatibu wa kuu wa chama kujivua uwanachama na kujiunga na kingine!
Inaweza kweli!!!Lakini hebu fikiri kwa nini hawatoki Chadema na kwenda ACT au CUF?Kwa nini waende kwenye Chama chenye vyombo vya usalama?
 
Mdee hawezi kujibu chochote atauizwa wewe uukuwa kwenye kamati kuu ya chama . Mikaa ini, tarehe gani kuoitisha hayo majina aiyojipendeea yeye na viongozi wenzake pamoja na mpenzi wake. Waijaza fomu ini mbee ya hakimu gani na kusainiwa na katibu mkuu yupi, Nani aimsainisha Nusrat fomu. Hawezi kujibu maswaii haya kama Mahera anavyoshidwa kuitisha Press kwa kuwa wote ni waongo.
 
If that move (going to sisiem) is true, then Halima would strip off her political clothes to become naked.

History has it that; women have been political and spiritual traitors, eg Ever vis a vis Adam, Delila vis a vis Samson, Bibi Titi vis a vis Nyerere etc. Do not trust wonen fully.

Tuishi nao kwa akili, imesema Biblia.
Huko CCM hakuna mwenye akili, waende tu watapokelewa kwa shangwe na teuzi watapata. Upinzani ndo chanzo cha akili CCM mifano iko mingi!
 
Hebu cheki pepo la usali linaitafuna Chadema.Ukistaajabu ya Lema utayaona ya Mrema.Viva Roma viva.............eeeh bendera.............
Wasaliti ni wale wanaouvaa uzalendo feki kwa maslahi hao na kundi la wachache.
 
Back
Top Bottom