Hv kuna mpumbavu kuliko wewe??!!Kwani hao The 19 Dadaz wakihamia CCM Kwetu kuna tatizo au watapatwa na mkasa wowote? Ni Mpumbavu tu pekee ambaye ataichukia CCM hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv kuna mpumbavu kuliko wewe??!!Kwani hao The 19 Dadaz wakihamia CCM Kwetu kuna tatizo au watapatwa na mkasa wowote? Ni Mpumbavu tu pekee ambaye ataichukia CCM hii.
Covid 19 wakihamia CCM chadema inanufaika kwa kuonekana kuwa imetoa maradhi kuwaambukiza CCMAhamie CCM au asihamie kabisa,nyinyi CDM mnanufaikaje..? Na yeye anaathirikaje? Au ni laana gani unayoizungumzia kwenye hoja yako pale juu?
Huu mwaka badilika kwa kweliHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
😂😂 Sasa hiyo afya mliyonayo wanaufipa kwenye chama chenu ikowapi..?Covid 19 ni hatari kwa afya ya binadamu
Chukueni hao viruses
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wakati wanaenda kuuza Utu wao hawakujua hilo?Leo mnajifanya hamuwajui eeh? 😂😂
Afya isingekuwepo msingekuwa mnatumia pesa za walipa kodi kuidhoofisha kuihujumu chadema mngeacha ijifie yenyewe😂😂 Sasa hiyo afya mliyonayo wanaufipa kwenye chama chenu ikowapi..?
Baada ya hapo,nyinyi kama wanaufipa mnanufaikaje?Covid 19 wakihamia CCM chadema inanufaika kwa kuonekana kuwa imetoa maradhi kuwaambukiza CCM
Namuona kwa jicho la imani akiwa Waziri wa habari,utamaduni sanaa halikadhalika na michezo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] theluji yayeyuka.
Kamati ya fitina Slowslow anaenda kuwa waziri huko, ndiyo habari ijayo!!
Everyday is Saturday................................😎
Ila hoja nyingine bwana😂, kwahiyo kutowatambua kwako hapa jukwaani,kuna wapunguzia nini wao huko waliko?Huoni kama Ni swala la kupoteza muda wako tu.Wakati wanaenda kuuza Utu wao hawakujua hilo?
Wewe jamaa una Phd ya unafiki. Kuna uzi uliandika kuhusu kukubaliana na Msekwa kuwa hawa covid 19 sio wabunge tena.Hao ni wabunge halali wa Chadema hadi 2025!
Halima akihamia CCM nina uhakika atashine Sana. na mwili utarudi sasa. Atakua mdada wa kupendeza. Maana kuna vyama fulani mda wote huwa ni kupanic tu. Mpaka unapoteza na mvuto wa sura. Watu wanafanya kampeni wanaongea mpaka mishipa inawatoka bhana. Karibu CCM dada yetu Halima. Utumie elimu yako mahala sahihi. Huko unatumia elimu yako kupiga kelele tu maana watu wenyewe hawana ajenda wa hoja za msingi zaidi ya kupinga. Lakini CCM utatumia elimu yako kufanya kazi ipasavyo.Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Sio kizembe hivyo mkuu,ukumbuke ndani ya dili kinaweza kuibuka dili kingine.Vipi kama wametumwa kiaina na viongozi wa ufipa Ili kuingia serikali kiulaini?Wahamie CCM wakapewe ukurugenzi,ukuu wa wilaya etc.
Domo refu kama chupa kazi umbeya tuuu !Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Kitendo cha baraza la wanawake kuwakataa na kukiomba chama kisiwarudishe tena kiwafute kimewakata maini sana saa hivi wamebaki ganzi kama mtu alopaka vumbi la drcHii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Malizia garageWatazungumza kesho baada ya Polepole kuapishwa!
Inaweza kweli!!!Lakini hebu fikiri kwa nini hawatoki Chadema na kwenda ACT au CUF?Kwa nini waende kwenye Chama chenye vyombo vya usalama?Makada wa chadema usaliti ndo jadai yenu. Hamuaminiki kabisa! We ulisikia wapi hata makatibu wa kuu wa chama kujivua uwanachama na kujiunga na kingine!
Huko CCM hakuna mwenye akili, waende tu watapokelewa kwa shangwe na teuzi watapata. Upinzani ndo chanzo cha akili CCM mifano iko mingi!If that move (going to sisiem) is true, then Halima would strip off her political clothes to become naked.
History has it that; women have been political and spiritual traitors, eg Ever vis a vis Adam, Delila vis a vis Samson, Bibi Titi vis a vis Nyerere etc. Do not trust wonen fully.
Tuishi nao kwa akili, imesema Biblia.
Wasaliti ni wale wanaouvaa uzalendo feki kwa maslahi hao na kundi la wachache.Hebu cheki pepo la usali linaitafuna Chadema.Ukistaajabu ya Lema utayaona ya Mrema.Viva Roma viva.............eeeh bendera.............