Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.

Picha hii hapa👇
FB_IMG_1746450134538.jpg

Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya jaribio la mauaji hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Novemba 2016 Kada wa Chadema Ben Saanane aliyekosoa PhD ya Rais wa Tanzania enzi hizo John Magufuli alitekwa na kupotezwa na hajaonekana hadi leo. Waliofanya vitendo hivi hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Agosti 2024, Kada wa Chadema Deus Soka alitekwa akiwa kituo cha Polisi Chang'ombe Dar es Salaam. Hajapatikana hadi leo na Watekaji hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Julai 2024 Katika ziara ya Rais Samia mkoani Rukwa Kada wa Chadema Deonis Kipanya alitekwa na kupotezwa baada ya kuchukua video ya msafara wa Rais Samia wenye Magari mengi. Wahusika wa matukio hayo hawajakamatwa hadi leo.

Wiki iliyopita hapa Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Charles Kitima ambaye anafahamika kwa kiukosoa sana Serikali ya CCM kwa vitendo vya ukiukwaji wa Haki na Utawala Bora alishambuliwa kwa nia ya kudhurumu Uhai wake. Wahusika hawajakamatwa hadi leo zaidi ya Polisi kutoa taarifa ya kada wa Chama cha Mapinduzi aliyepost mtandaoni kumtisha.

Mwaka jana kada wa Chadema Mzee Ali Kibao alitekwa na kushushwa kwenye basi na watu wenye silaha mchana kweupe. Alipatikana akiwa ameuwawq kwenye mapori ya Ununio jijini Dar es Salaam. Hadi leo hakuna aliyekamatwa hata mmoja

Nadhani Watanzania tunaelewa sasa kuwa aliyefanya tukio husika kamwe hawezi kujikamata.

Lord denning
Mwanza
 
Sasa hapa kwetu nani anauwezo wa kutembea na magari ya serikali waziwazi wakakuteka kisha muriro zee la kustaafu likabisha
 
Kwak kifupi hapa Tanzania matukio haya yanafanywa na vyombo vya Serikali na Chama tawala ndo mana huwezi sikia mtu amekamatwa na kufikishwa Mahakamani.
 
Serikali inayopaswa kuwalinda watu ndio inaondoa uhai wa watu
 
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.

Picha hii hapa👇
View attachment 3325284

Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya jaribio la mauaji hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Novemba 2016 Kada wa Chadema aliyekosoa PhD ya Rais wa Tanzania enzi hizo John Magufuli alitekwa na kupotezwa na hajaonekana hadi leo. Waliofanya vitendo hivi hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Agosti 2024, Kada wa Chadema Deus Soka alitekwa akiwa kituo cha Polisi Chang'ombe Dar es Salaam. Hajapatikana hadi leo na Watekaji hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Julai 2024 Katika ziara ya Rais Samia mkoani Rukwa Kada wa Chadema Deonis Kipanya alitekwa na kupotezwa baada ya kuchukua video ya msafara wa Rais Samia wenye Magari mengi. Wahusika wa matukio hayo hawajakamatwa hadi leo.

Wiki iliyopita hapa Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Charles Kitima ambaye anafahamika kwa kiukosoa sana Serikali ya CCM kwa vitendo vya ukiukwaji wa Haki na Utawala Bora alishambuliwa kwa nia ya kudhurumu Uhai wake. Wahusika hawajakamatwa hadi leo zaidi ya Polisi kutoa taarifa ya kada wa Chama cha Mapinduzi aliyepost mtandaoni kumtisha.

Mwaka jana kada wa Chadema Mzee Ali Kibao alitekwa na kushushwa kwenye basi na watu wenye silaha mchana kweupe. Alipatikana akiwa ameuwawq kwenye mapori ya Ununio jijini Dar es Salaam. Hadi leo hakuna aliyekamatwa hata mmoja

Nadhani Watanzania tunaelewa sasa kuwa aliyefanya tukio husika kamwe hawezi kujikamata.

Lord denning
Mwanza
Changamoto ni je... Wahusika ni halisi au wameangushiwa jumba bovu? Unakumbuka wale tuliambiwa ni njemba za south?issue ya moh!
 
Halafu mjinga na mpumbavu fulani bado anavaa nguo za CCM wakati hata pesa ya kula shuda !!
 
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.

Picha hii hapa👇
View attachment 3325284

Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya jaribio la mauaji hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Novemba 2016 Kada wa Chadema aliyekosoa PhD ya Rais wa Tanzania enzi hizo John Magufuli alitekwa na kupotezwa na hajaonekana hadi leo. Waliofanya vitendo hivi hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Agosti 2024, Kada wa Chadema Deus Soka alitekwa akiwa kituo cha Polisi Chang'ombe Dar es Salaam. Hajapatikana hadi leo na Watekaji hawajakamatwa hadi leo.

Mwezi Julai 2024 Katika ziara ya Rais Samia mkoani Rukwa Kada wa Chadema Deonis Kipanya alitekwa na kupotezwa baada ya kuchukua video ya msafara wa Rais Samia wenye Magari mengi. Wahusika wa matukio hayo hawajakamatwa hadi leo.

Wiki iliyopita hapa Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Charles Kitima ambaye anafahamika kwa kiukosoa sana Serikali ya CCM kwa vitendo vya ukiukwaji wa Haki na Utawala Bora alishambuliwa kwa nia ya kudhurumu Uhai wake. Wahusika hawajakamatwa hadi leo zaidi ya Polisi kutoa taarifa ya kada wa Chama cha Mapinduzi aliyepost mtandaoni kumtisha.

Mwaka jana kada wa Chadema Mzee Ali Kibao alitekwa na kushushwa kwenye basi na watu wenye silaha mchana kweupe. Alipatikana akiwa ameuwawq kwenye mapori ya Ununio jijini Dar es Salaam. Hadi leo hakuna aliyekamatwa hata mmoja

Nadhani Watanzania tunaelewa sasa kuwa aliyefanya tukio husika kamwe hawezi kujikamata.

Lord denning
Mwanza

Kipimo sahihi zaidi ni kufanya Uchunguzi wa kina kabisa, uchunguzi ambao ni huru kabisa kwa mujibu wa Taratibu za kufanya Uchunguzi Huru.
Uchunguzi Huru ndio unaotoa matokeo halisi juu ya nani hasa ndiye aliyehusika katika kutenda uhalifu.
 
Back
Top Bottom