Kukata Mawasiliano na Familia: Miaka Haina Habari

Sababu kubwa ni maumivu ya anaeondoka aliyo yapata, hapa ndipo linapokuja jambo kubwa linalohusu malezi na mahusiano ya watoto na wazaziwao.
Maumivu hufanya chochote kama alie umizwa hajaiona thamani yake.View attachment 3594991
Sure, trauma hiyo. Na kukimbia hasa Huwa hakusolve chochote badala ya kuleta maumivu zaidi
 
Mkuu hakika umenena, the only people who will stand by you ni nduguzo. Ila tena hao hao ndugu hutakiwi kuwaendekeza it's a like a game of Chess you need to play
 
Sawa ila, hao unaowaacha inakuwa kama umewasaliti. Imagine mzazi kakulea mpk umekuwa alaf unakuja kusikia walisha mzika au wewe umepatwa shida. Mm naona bado inabidi kuwa nao hata kama from a distance
mm nilipotea 5year

na sikua na chaguo la kuwatafuta nilikua na pambana kuukimbiza umasikini na bado naendelea na sitak usumbufu.

sikuzote ili uukimbize umasikini na kua tajiri kafara na kukosekana kwa usawa havikwepek. Kafara c lazima kuua.
 
mm nilipotea 5year

na sikua na chaguo la kuwatafuta nilikua na pambana kuukimbiza umasikini na bado naendelea na sitak usumbufu.

sikuzote ili uukimbize umasikini na kua tajiri kafara na kukosekana kwa usawa havikwepek. Kafara c lazima kuua.
Usawa gan unaouzungumzia
 
Hakuna faida yoyote, si me Wala ke, ushajiuliza ukifa Kwa kishitukiza inakuwaje? Usha ona maiti za manispa zinavo zikwa?
Umekaa kaaje aisee kimawazo yako yani.
Mimi unitreat kama shit,unibague,unifanyie yote kunikosea heshima.unifokee mbele ya watoto.
Halafu nikifa eti unanipa heshima ya mwisho kwenye jeneza.heshima gani?

Kumuhesimi mtu kunaanza akiwa hai sio maiti.
Tupunguze unafki.
Waliozikwa na manispaa hawana ndugu wamepungua nini
Unataka kusema wao hawana heshima?
Umeona kuliliwa vilio feki na wanafki ndio heshimaπŸ˜„

Ningekusimulia mengi nliyopitia na kuyaona duniani.ntajaza gazeti hapa.kama upande uliopo umetulia shukuru sana.
 
Shusha gazet mana mm hela ya kununua la dukan sina au kama vip lishushie DM kwangu tu
 
Indeed πŸ’―πŸŽ―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…