Kukata Mawasiliano na Familia: Miaka Haina Habari

Hakuna faida yoyote, si me Wala ke, ushajiuliza ukifa Kwa kishitukiza inakuwaje? Usha ona maiti za manispa zinavo zikwa?
So ukishakufa halafu ukazikwa hivyo wewe kama maiti wakati huo inakupunguzia Nini

Halafu hizi dini ziliwaletea watu ujinga sana

Kwanini mmekarili kwamba Kila anaye kufa lazima azikwe !?

Kuna watu wanakufa wana angukiwa na vifusi na miwili haipatikani Kuna wanao liwa na Simba , mamba na kumezwa na chatu etc ,

Kuzika sio kitu special binaadamu anazikwa ili asiweze kunuka na kuuza taharuki na magonjwa ya mlipuko nothing else
 

Word.
 
Kwa kweli ujamaa umetuharibu sana
 
Mkuu elezea tujifunze...watu wanafiki sana
 
Ushauri kwa wazazi

Jitahidini SANA kutotengeneza makundi kwa watoto wenu unamjar au kumsikiliza watoto fulan na kuwatenga wengine
Pia hakikisheni mnawasikiliza watoto wenu kwa kumpa Kila mmoja nafas ya kutoa mawazo na kuwapa ushauri

ACHEN lugha za kuwakatisha tamaa watoto wenu na kuwatoa akil mpaka wanajiona hawana thamani


Haya yote hupelekea WATU KUKAA mbal na familia
 

Mbona hiyo kawaida.
Ukishakuwa mkubwa hilo ni Jambo la kawaida. Wazazi wameshakukuza. Imeisha hiyo
 
Hakuna faida yoyote, si me Wala ke, ushajiuliza ukifa Kwa kishitukiza inakuwaje? Usha ona maiti za manispa zinavo zikwa?
Katika vitu ambavyo huwa sijali ni mambo yatakayoendelea baada ya mimi kufa...eti sijui nitazikwaje, nitazikwa na nani. As long as hakuna mtu atakayeumia/kupata hasara kutokana na kifo changu I'm good, hata ndugu zangu huwa nawaambia mimi nikifa nizikwe popote tu kama mtaamua wenyewe kuingia gharama kwa kufikiria watu watawaonaje mtajijua wenyewe mimi sipo
 
Haya mawazo hayahusiani na dini tafadhali. Watu wa dini huwa tunajali roho inapokwenda baada ya kifo sio huu mwili.
 
Wazazi wetu hawa Mungu awasaidie wanachangia kwa kiasi kikubwa familia zao wenyewe kuvunjika. Ukiona ndugu wa familia moja hawaelewani chanzo mara nyingi huwa ni wazazi
 
Wanangu wa temeke ,tandikq ,mbagala na kibaha waliokimbia zama zile kwenda ughaibuni wanapita uzi kama wanaaga maiti maana MOHAMED MSANGI ndiye kawa kimbilio lao kutuletea wakiwa wamechoka wameisha na ni wa magonjwa mbalimbali .

Ukifuatilia wengine si kwamba ndugu zao tulikuwa tunawatenga hapana ni usela mavi wa kila mtu kujifanya baharia ilihali hawana lolote zaidi ya kukimbia wizi ,ukabaji na tabia mbaya sehemu zao walizokuliq ila pona yao wanaona kwenda nje sijui south Africa ndiyo kujiweka sawa tena na kule wanaenda wanaendelea kuharibu ndiyo hawa tunawapokea daily SWISS PORT wakiwa kwenye majenezq kama sio kuletwa kwa EMERGENCE TRAVEL DOCUMENT daily hata hela ya kula hawana zaidi ya kutusumbua sisi kuwalipia mpaka hela ya usafiri na chakula ilihali walituacha mpaka miaka 30 na kitu iliyopita .

Pitieni kwenye akaunti MOHAMED MSANGI kuna mengi ya kujifunza kuhusu kukimbia familia ila sio sawa hasa watoto wa mjini wengi ni usela mavi sio habari za kutengwa wala nini ila matukio yao ya kishamba ndiyo yanawakimbizq mjini na wakifika huko wanawasahau hata ndugu zao .
 

Binadamu hasa wanaojifanya wanapenda undugu wa matatizo kama misiba wengi Wana roho za kishetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…