Kukata Mawasiliano na Familia: Miaka Haina Habari

mm nilipotea 5year

na sikua na chaguo la kuwatafuta nilikua na pambana kuukimbiza umasikini na bado naendelea na sitak usumbufu.

sikuzote ili uukimbize umasikini na kua tajiri kafara na kukosekana kwa usawa havikwepek. Kafara c lazima kuua.
Ndo maana hatufanikiwi, tunaamin katika uchawi na superstitious beliefs. imagine 5 yrs? Umefaidika Nini? Kwanini usingetafta namna ya kurudisha amani! Huku ukisaidiana na at least mtu mnayeendana kwenye familia. Mngepiga hatua maana unity is strength.

Mda mwingine tunajitahidi kufukia vichwa chini ya mchanga tukidhani matatizo yataondoka.
 
We dada hayo maumivu is part of life. Na sometimes karma is to be faced not avoid. Mateso na chuki ulizopitia sio kigezo cha kuwakataa nduguzo? Hao ndo waliokulea, waliokulisha, waliokuvisha mpka kufikia Leo. So be kind, don't let your ego win.
 
Hiki ndicho chanzo na kiini Cha hayo yote. It starts and ends on a family level. Wazazi Huwa wanafanya mambo kukidhi trauma zao, baadae watoto wakianza ku act weird wanaanza kushangaa.
 
Ni jambo jema kujitenga katika familia yako au nchini kwako tafuta watu wasiozidi wanne wa kuwasiliana nao.
 
Mfano mimi mshua kwa dada yetu ambae ni wanne kuzaliwa humwambii kitu,inafika kipindi anamkosea heshima hata dada yetu mkubwa,mjomba ,mimi pia marehemu mama yetu.
Mzee hupiga kimya dah nimeamua kukaa mbali nao kwanza I think after 5 years tutatafutana.
 
Miaka na miaka huwa nawaza kufanya hivyo lkn sijawahi kupata ujasiri huo. Tusiwajudge sana maana wanazo sababu na nyinginr ni za msingi
Watu wanadhani familia zao ni kama za kila mtu, ukipata nzuri unashukuru Mungu na sio kuhukumu watu.

Kuna binadamu wamejeruhiwa na familia zao kupita kissi hususani wale ambao hawa na kipato. Wanadharaulika, wanadhalilishwa, wanasimangwa, wanasingiziwa etc

Inafikia stage mtu haoni thamani ya ndugu wala familia. Anaamua kujitenga ili apate amani
 
ya kukujenga ukiwa isolated ni mengi kuliko kuishi katikati yao as your comfort zone.
Comfort zone yenyewe ni kula na kulala ila utailipia kwa kuumizwa kihisia na kiakili.

Mtoto mdogo mwenye pesa akifika nyumbani, utaambiwa hebu kamletee mdogo wako chakula na maji ya kunawa maana amechoka na safari.

Kwenye mikusanyiko hashirikishwi kwa lolote, anafokewa kama mtoto na wadogo zake huku wazazi wanaangalia tu na hapo bado, kusingiziwa, kuchekwa na kusemwa katikati ya watu.

Ohhh mkuu ondoka tu, watu wanaokutreat kama haupo wanaumia nini ukipotea
 
Hakika mkuu maumivu ya familia ni makubwa. Ila hayatoki hata ukimbie... Mimi naona ni Bora kusamehe, kuwapenda na kuwasaidia upatapo nafasi.

Kuna regrets mbaya sana Huwa inapatikana ukiwapoteza mazima. It haunts you your whole life
 
Hakika mkuu maumivu ya familia ni makubwa. Ila hayatoki hata ukimbie... Mimi naona ni Bora kusamehe, kuwapenda na kuwasaidia upatapo nafasi.

Kuna regrets mbaya sana Huwa inapatikana ukiwapoteza mazima. It haunts you your whole life
Dunia ni pana sana mkuu. Kuna watu salama yao ni kuwa mbali na familia.

Kuhusu regret ni kweli itakuwepo lakini maumivu yaliyokusanywa kwa muda mrefu huua hata hisia za upendo kama si kuibua chuki.

Wewe pia unadhani ukianguka family members tu ndio watakuokoa. Pole sana, ila waombee ndugu zako wawe na moyo tu ila si kwamba wanashindwa kukutelekeza
 
Wewe pia unadhani ukianguka family members tu ndio watakuokoa. Pole sana, ila waombee ndugu zako wawe na moyo tu ila si kwamba wanashindwa kukutelekeza
Mkuu Kuna mengi nimepitia na kama ulivyosema, Huwa hisia kabisa, ila nikwambie tu kama ni ndugu waliokulea, inabidi usemehe na hata kufanya mawasiliano maana hii kitu hata tusijidanganye, wao pia waliumizwa. Hakuna anayeumiza mwingine pasipo historia. So kukata mzizi wa chuki ni kuanza kuona kiundani hao pia wamebeba misalaba
 
Siwezi kuwakalia kimya ndugu ama wazazi wangu ila kuna time distance inasaidia ukishakuwa mtu mzima.

Kuna watu unaweza elewana au kupendana nao mkiwa mbali mbali. So kujua hili na kuishi nalo sio mbaya unless wazazi ama mwenye nguvu ya kifedha. Asawazishe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…