Sahihi na ndicho nilikuwa na maanisha.Siwezi kuwakalia kimya ndugu ama wazazi wangu ila kuna time distance inasaidia ukishakuwa mtu mzima.
Kuna watu unaweza elewana au kupendana nao mkiwa mbali mbali. So kujua hili na kuishi nalo sio mbaya unless wazazi ama mwenye nguvu ya kifedha. Asawazishe mambo
Ndivo akuavyoooo
Mimi nimetoka kwenye familka nzuri. Malezi mazuri na kila.kitu kizuri. Wazazi wangu na ndugu zangu ni wa kipekee mno. Sijawahi kuwa na tatizo nao....Watu wanadhani familia zao ni kama za kila mtu, ukipata nzuri unashukuru Mungu na sio kuhukumu watu.
Kuna binadamu wamejeruhiwa na familia zao kupita kissi hususani wale ambao hawa na kipato. Wanadharaulika, wanadhalilishwa, wanasimangwa, wanasingiziwa etc
Inafikia stage mtu haoni thamani ya ndugu wala familia. Anaamua kujitenga ili apate amani
Pole.sana mkuu tuwasamehe wazazi wetu wakat mwingne misimamo Yao hawajui baadaye huleta mgawanyikoMfano mimi mshua kwa dada yetu ambae ni wanne kuzaliwa humwambii kitu,inafika kipindi anamkosea heshima hata dada yetu mkubwa,mjomba ,mimi pia marehemu mama yetu.
Mzee hupiga kimya dah nimeamua kukaa mbali nao kwanza I think after 5 years tutatafutana.
Ungekua umepoteza ndugu oktoba 29 sizan kama unge ongea huu utumbo, mnasemaga tu si haya ja kupata subiri yakupate, unaamka tu huoni mwanao siku zinaenda huijui Yuko hai huijui kama kafa, waulize wanao enda kulilia kwenye makaburi Huwa wanaenda kulia Nini, in short your still a girl mind, ukikua utajielewaUmekaa kaaje aisee kimawazo yako yani.
Mimi unitreat kama shit,unibague,unifanyie yote kunikosea heshima.unifokee mbele ya watoto.
Halafu nikifa eti unanipa heshima ya mwisho kwenye jeneza.heshima gani?
Kumuhesimi mtu kunaanza akiwa hai sio maiti.
Tupunguze unafki.
Waliozikwa na manispaa hawana ndugu wamepungua nini
Unataka kusema wao hawana heshima?
Umeona kuliliwa vilio feki na wanafki ndio heshima😄
Ningekusimulia mengi nliyopitia na kuyaona duniani.ntajaza gazeti hapa.kama upande uliopo umetulia shukuru sana.
Ni kweli kaka, unasema hivo Kwa watoto wa wenzio ila Kwa mtoto wako aaaahSo ukishakufa halafu ukazikwa hivyo wewe kama maiti wakati huo inakupunguzia Nini
Halafu hizi dini ziliwaletea watu ujinga sana
Kwanini mmekarili kwamba Kila anaye kufa lazima azikwe !?
Kuna watu wanakufa wana angukiwa na vifusi na miwili haipatikani Kuna wanao liwa na Simba , mamba na kumezwa na chatu etc ,
Kuzika sio kitu special binaadamu anazikwa ili asiweze kunuka na kuuza taharuki na magonjwa ya mlipuko nothing else
👍Katika vitu ambavyo huwa sijali ni mambo yatakayoendelea baada ya mimi kufa...eti sijui nitazikwaje, nitazikwa na nani. As long as hakuna mtu atakayeumia/kupata hasara kutokana na kifo changu I'm good, hata ndugu zangu huwa nawaambia mimi nikifa nizikwe popote tu kama mtaamua wenyewe kuingia gharama kwa kufikiria watu watawaonaje mtajijua wenyewe mimi sipo
Watu sometimes ni kama wanyama tu wasipo jua kuhimili hisia. Na zama hizi ile humaness inazidi kupotea. Hata kama umeumizwa kiasi Gani, you can't just ignore hands that raised youUngekua umepoteza ndugu oktoba 5 sizan kama unge ongea huu utumbo, mnasemaga tu si haya ja kupata subiri yakupate, unaamka tu huoni mwanao siku zinaenda huijui Yuko hai huijui kama kafa, waulize wanao enda kulilia kwenye makaburi Huwa wanaenda kulia Nini, in short your still a girl mind, ulikua utajielewa
Ni lazima nichangieKwa hiyo? Unachangia Nini?
Sahihi kbsa mkuuSawa ila, hao unaowaacha inakuwa kama umewasaliti. Imagine mzazi kakulea mpk umekuwa alaf unakuja kusikia walisha mzika au wewe umepatwa shida. Mm naona bado inabidi kuwa nao hata kama from a distance
Hata ukifukuzwa hutakiwi kwenda mazimaKabla hata ya kujitenga ilipaswa baada ya miaka 18 wazazi wako wakufukuze nyumbani .
Wewe ndio black sheep of the family?Mimi nimetoka kwenye familka nzuri. Malezi mazuri na kila.kitu kizuri. Wazazi wangu na ndugu zangu ni wa kipekee mno. Sijawahi kuwa na tatizo nao....
Kinachonifanya nipate hayo mawazo ni hizi changamoto zangu za ukubwani.
So painful.Kuna binti alikuwa kitinda mimba alileleqa kimayai alipata ujauzito akiwa form 1,wazazi walimgombeza sana.Baada ya miezi 3 toka agombeze alitoroka nyunbani huu huu ni mwaka wa 7 hajwahi kurudi mwezi huu mama yake alifariki na msibani hajaonekana.
Jambo nililojifunza katika maisha ni kuwa usiforce watu wafanane,watu wanazaliwa na akili tofauti na tabia na hulka toauti
Pole sana ndugu.Mimi yalishanikuta, nilirudisha mpira kwa kipa baada ya maisha kuwa magumu! Aisee treatment niliyopata kutoka kwa wazazi sitokaa nisahau! Nilikuwa natukanwa nadhalilishwa kama mtoto mdogo na mwisho nilianza kupigwa makofi just imagine kijana wa miaka 28 unapigwa eti kisa umetoka asubuhi bila kufanya usafi? Nashukuru mungu nilitoka nyumbani nikiwa na elfu arobain na nane nikiwa sijui naenda wapi? Ni miaka kumi imepita ila sitokaa nisahau.
Familia yako?Wewe ndio black sheep of the family?