Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

Ngoja nimalizie mechi ya Tan Vs Ug nirudi

Hii topic iko moto narudi kusoma comments
 
Mtu mpaka ukajiripiuwa na kwenda kumtongoza mdada mana hua ushajiripua, Haya umeeka pembeni unakwenda kujaribu bahati yako, Ukishabwaga ndipo unapoanza kujuta kwa ulivodhalilika.
 
WE DOGO, HIVI SIKU HIZI KUNA KUKATALIWA KWELI. !?
HAWA WADUDU WAKO KILA SEHEMU, UNAWEZAJE KUKOSA?
 
[emoji23][emoji23]
 
Ila sio wote wanaopenda pesa
Una uhakika mkuu??
kama kuna mdada unamjua anayeweza kuridhika na kile kidogo nachopata cha kumuhudumia naomba unistue, wanna get in a relationship, shida sina pesa za kutosha...
 
Una uhakika mkuu??
kama kuna mdada unamjua anayeweza kuridhika na kile kidogo nachopata cha kumuhudumia naomba unistue, wanna get in a relationship, shida sina pesa za kutosha...
Mimi navyojua mwanamke akikupenda kweli anaweza ridhika na ww hata kama huna hela nyingi.
 
Hajasema mambo ya kutotongozwa bali anazungumzia malalamiko ya wanaume wengi khs Ke huenda inachangiwa na kupigwa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kutongoza nikakataliwa huwa nasikia tu kwa watu.

Mwanamke anaanzaje kumkataa mwanaume mwenye lugha ya kawaida tu hata kama hana pesa?

Nina wake wawili lakini nipo na mwanafunzi wa chuo fulani kama mchepuko binti analazimisha ndoa awe mke wa tatu lakini nampiga stop.

Hapo nilimtongoza akiwa anajua kabisa nina familia ya wake wawili na watoto lakini bado alinielewa.

Ndo maana najiuliza mwanamke anaanzaje kumkataa mwanaume wakati mie huwa napanga sababu za kuwatema na kuwakwepa wengine niliowatongoza kisha nikawaacha hewani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…