Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Emergency ndio ilifeli😂😂Emergency system failed au hakuna kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emergency ndio ilifeli😂😂Emergency system failed au hakuna kabisa.
Tulichokua tunabishana ni kimoja upo sahihi Mkuu safi...Yeah ni ishu ndogo lakini imeondoa watu. Mimi nilichotaka ni kuwa fair, haiwezekani jumba bovu umuangushie mtu asiyehusika (Karia). Ni vizuri ikaeleweka kuwa TFF nao ni wateja wa huo uwanja, wanapouhitaji ni lazima waombe, na mara nyingine nyingi tu wanakataliwa
Hapo ndio utajua kwamba hatupo makini kotekote. Secretary kaandika baada ya kupewa maelezo. Aliyesaini kafanya hivyo bila kupitia. Yaani watendaji wote hakuna ambaye yupo makini.Uwanja wa "Banjamin"
Kwenye mambo ya maana hali ni mbaya sana hukoWabongo hatuko serious kabisa.
Hapo ni kwenye michezo je kwenye mambo ya maana hali ikoje?
Mimi nilishazoea hizo wizarani, ngazi ya mkoa, ni shida!Hapo ndio utajua kwamba hatupo makini kotekote. Secretary kaandika baada ya kupewa maelezo. Aliyesaini kafanya hivyo bila kupitia. Yaani watendaji wote hakuna ambaye yupo makini.
Typing error kwenye public document ni uzembe sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo yaleyale ya Roma mkatoliki
kwenye msafara anazembea ng'ombe wa mbele ila bakora anakula wa nyuma
Shida inaanzia kwa watu huko serikalini kuwa na mentality kama yako. Kwani michezo siyo mambo ya maana?Wabongo hatuko serious kabisa.
Hapo ni kwenye michezo je kwenye mambo ya maana hali ikoje?
Nadhani umeninukuu vibaya,sikuwa na nia ya kusema football ni mchezo wa kijinga,I meant mambo ambayo ni basic needs za mtanzania kama ,maji,umeme,dawa....Shida inaanzia kwa watu huko serikalini kuwa na mentality kama yako. Kwani michezo siyo mambo ya maana?
Kwa idadi ya watu wanaokusanyika kwa wakati mmoja pale uwanjani, levo ya usalama ilitakiwa iwe sawa na ile imayotolewa kwa ofisi kama ya Ikulu lakini kwa kuwa ni michezo haya mambo "yasiyo na maana" yanachukuliwa poa.
Upo sahihi watu wa kwanza kuwajibika kwa kutokutekeleza majukumu yao kwa usahihi ni wizara kabisaaaa, unaanza na waziriWakwanza kusimamishwa kazi alitakiwa awe waziri mwenyewe kwa kuchelewa kuchukua hatua sahihi kwa wakati sahihi na huo ni uzembe.
Tatizo hili la kuhujumu taifa limejirudia mara ya mara nyingine ndani ya takribani mwezi mmoja.
Huwenda kama hatua stahiki zingechukuliwa mapema aibu hii isingejirudia tena ila kwa sababu waziri na watu wake walichukulia powa na kwa vile wanafahamiana na watendji ndio tunakutana na aibu mbele ya macho ya dunia.
Hili sio la meneja tu ni la waziri mwenye dhamana na katibu mkuu wake.
Na kwa nini awe kaimu meneja kwa muda wote huo? Meneja yuko wapi?
Yawezekana mtu kakaimu madaraka kwa kipindi kirefu hivyo bado kunawakati anashindwa kufanya mamuzi sahihi nankwa wakati sahii kwa sababu yeye amemshikia mtu dhamana hivyo haoni uzito wa jukumu mabegani mwake.
Matamko ya kusimamishana hayaji mpaka afe mtu?
Uwanjani giza, je ulinzi na usalama wa mashabiki na maofisa wa mechi ingekuwaje?
Mi nadhani rungu lianzie juu sio chini!
Yes manager mwenyewe alitolewa na kumpangiwa majukumu mengine miezi kadhaa iliyopitaKaimu manager ?????
Ova
Mchengerwa alimtoa manager wa zamani, akaleta watu wake wa ujuaji na kichwani zero, matokeo ndio haya, uwanja ndani ya miezi 6 pitch imeharibika na tatizo la umeme limekuwa sugu, serikali ya kishikaji haiwezi fanya lolote lenye tija kwa usahihi.Yes manager mwenyewe alitolewa na kumpangiwa majukumu mengine miezi kadhaa iliyopita
...Mere speculationsNajua hizi ni hujuma za wazi ili Simba ikose nafasi ya Ushiriki wa Michuanonya CAF Super Cup kwa kukosa uwanja wa nyumbani.