Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga akili hamna!Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
By Mzilankende MnyagoHii inchi ni tajiri ila kuna mijizi haina uchungu na nchinna hawa ndio waliotufikisha hapa eguzatli ,au nasema uongo nduzu zangu ?
Waliosimamishwa ni Kaimu meneja wa uwanja ndg.Manyoni Juma Kapesa, muhandisi wa umeme ndg.TuswegeNikupala, Afisa uwanja ndg. Gordon Nsajigwa, na Gabriek Mwaswele.
Waliosimamishwa ni Kaimu meneja wa uwanja ndg.Manyoni Juma Kapesa, muhandisi wa umeme ndg.TuswegeNikupala, Afisa uwanja ndg. Gordon Nsajigwa, na Gabriek Mwaswele.
Mkuu hizo ishu za umeme wa taa ni ndogo wacha tugange yajayo...Yanga akili hamna!
Karia na uwanja anahusikaje?Au unadhani uwanja ni wa TFF?
Hivi nyie utopolo akili zilienda wapi?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mtu mwenye uelewa umeme wa taa hawezi kusumbuka nao hii 2023...UELEWA WAKO NI MDOGO SANA
RUDI SHULE
Ndio tulipofikia watz, mgonjwa akifariki kwa umeme kukatika wakati akifanyiwa upasuaji sio swala la msingi. Na wala hutasikia habari hiyo.huu uzembe upo kila mahali kipi hasa kinatustua kama sio unafiki …mara ngapi umeme unakatika ghafla maeneo nyeti kama Hospital na watu kupoteza maisha au kupata madhara wakiwa kwny vyumba vya upasuaji....
Upo vizuri sana wewe Mtu great...Ndio tulipofikia watz, mgonjwa akifariki kwa umeme kukatika wakati akifanyiwa upasuaji sio swala la msingi. Na wala hutasikia habari hiyo.
Ila kwa swala la mpira watu wanasimamishwa kazi.
Asante Tanzania.
Alipata kuwa swahiba wangu Said Yakubu enzi yuko BBC. Mtu muungwana sana yule jamaa.Mimi nimefurahi kuona Saidi Yakubu akifanya maamuzi fasta.
Karia anatumia ule Uwanja anatakiwa ashauri na kujua wapi pana matatizo kama kweli mnadhani hatakiwi kujua kitu kuhusu uwanja ambao yeye kwenye Chama chake wanakitumia basi mna tatizo sana...Wewe acha ujuaji,Uwanja wa serikali Karia anahususikaje?