Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi
Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
Umeongea vyema

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Faza ishu ya generator ni ndogo sana wala sio Big deal naomba tuishie hapa kweli tumedumaa tupo busy tunajadili umeme wa Taa tuu ..
Yeah ni ishu ndogo lakini imeondoa watu. Mimi nilichotaka ni kuwa fair, haiwezekani jumba bovu umuangushie mtu asiyehusika (Karia). Ni vizuri ikaeleweka kuwa TFF nao ni wateja wa huo uwanja, wanapouhitaji ni lazima waombe, na mara nyingine nyingi tu wanakataliwa
 
Watanzania jmn hivi huyo Waziri ndio anashindagq hapo uwanjani mpk mseme asimamishwe.Kosa ni la hao hao wa chini huwezi kuharibu kitu kazini makusudi kisha useme wa juu yako afukuzwe kila mtu abebe kosa lake mwenyewe.
 
Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
Wewe acha ujuaji,Uwanja wa serikali Karia anahususikaje?
 
Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...
Hilo la kwanza, la pili ichunguzwe Wizara ya Nishati mtawalia.

Si uwanja wa Taifa peke yake zinapotokea adha za kukatika kwa umeme tu, ni nchi nzima mgao wa kimya kimya unaendelea bila ya maelezo.

Kwa Tz ilivyo, hapo tayari imeshatoka hiyo, majibu sahihi ambayo tume itayapata hayawezi kuwekwa hadharani, kwa kuwa yatagusa uozo dhahiri wa uwajibikaji wa Serikali.

Hao waliotolewa kafara washukuru Mungu, maana tume haiwezi kuja na majibu ya kuwasafisha na wakarudishwa kwenye nyadhifa zao, never!
 
Balaa sana utakuta waliambiwa watoe mpunga ukarabati mkubwa umeme na miundombinu hela haitoki hadi kwa tender hapo ndio shida tunajua pesa serikali shida sana kutoka hasa za operations
 
Naomba niwakumbushe ndugu zangu kwamba Yanga imeingia nusu fainali

Mama anaupiga mwingi, kazi iendelee
Tuliza mshono, yanga ilitakiwa ile mvua ya magoli toka rivers ili kubalansi aibu ya uwanja wake wa nyumbani kuzimika taa kizembe na rivers wageni waondoke roho nyeupe bila hisia mbaya ya kuhujumiwa
 
Wakina Karia ndio wanakaa kwenye Vikao vya kutoa gharama za Uwanja harafu mnakuja kuwalaumu watu wadogo wasio na maamuzi hii dhambi inaendelea kuwatafuna ,meneja wa Uwanja gani anaeweza kununua generator mpya au kukodisha hiyo kitu bila ya ruhusu ya hao wapiga hela kwa kutumia vikao...

UELEWA WAKO NI MDOGO SANA

RUDI SHULE
 
SELIKALI YETU BWANA YANI KUANDIKA BENJAMIN NAKO KUNAWASHINDA.

TANZANIA HATUNA UWANJA UNAITWA BANJAMIN MKAPA.

SHAME
 
Kutokana na kujirudia kwa hali ya kukatika umeme katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, ( Uwanja wa Taifa DSM) ikianza 28 Machi, 2023wakati wa mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...​
UMEME ULIANZA KUKATIKA ENZI ZA LECHANTE SIMBA NA AL MASRI.

2017.....
 
ISHU KUBWA NI KUNUNUA MAJENERETA MAWILI TU.

AMA KWELI.......

Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
 
Angeshauri tuu pila la usiku lichezwe pale Azam Arena
 
Back
Top Bottom