Tulichokua tunabishana ni kimoja upo sahihi Mkuu safi...
 
Hii nchi tuna watu wapumbavu haina mfano. Uwanja mmejengewa ,kusimamia tu mnashindwa! Mama na yeye anatakiwa kuwa serious, mambo ya kusema utawala bora kwa viongozi wa serikali hatafika popote. Kwa tukio la jana viongozi wote wa wizara walitakiwa waondolewe.
 
Uwanja wa "Banjamin"
Hapo ndio utajua kwamba hatupo makini kotekote. Secretary kaandika baada ya kupewa maelezo. Aliyesaini kafanya hivyo bila kupitia. Yaani watendaji wote hakuna ambaye yupo makini.
Typing error kwenye public document ni uzembe sana.
 
Hapo ndio utajua kwamba hatupo makini kotekote. Secretary kaandika baada ya kupewa maelezo. Aliyesaini kafanya hivyo bila kupitia. Yaani watendaji wote hakuna ambaye yupo makini.
Typing error kwenye public document ni uzembe sana.
Mimi nilishazoea hizo wizarani, ngazi ya mkoa, ni shida!
Unabaki kusema hiii baghoshaaa
 
Sio kusimamishwa kazi hao ilitakiwa wafukuzwe kazi mara moja.
Wanawasimamisha kazi baada ya mwezi mmoja wanawarudisha kazini sehemu nyingine.Kiini macho.
 
Wabongo hatuko serious kabisa.
Hapo ni kwenye michezo je kwenye mambo ya maana hali ikoje?
Shida inaanzia kwa watu huko serikalini kuwa na mentality kama yako. Kwani michezo siyo mambo ya maana?

Kwa idadi ya watu wanaokusanyika kwa wakati mmoja pale uwanjani, levo ya usalama ilitakiwa iwe sawa na ile inayotolewa kwa ofisi kama ya Ikulu lakini kwa kuwa ni michezo haya mambo "yasiyo na maana" yanachukuliwa poa.
 
Nadhani umeninukuu vibaya,sikuwa na nia ya kusema football ni mchezo wa kijinga,I meant mambo ambayo ni basic needs za mtanzania kama ,maji,umeme,dawa....
 
Upo sahihi watu wa kwanza kuwajibika kwa kutokutekeleza majukumu yao kwa usahihi ni wizara kabisaaaa, unaanza na waziri
 
Mama anaupiga mwingi...

Chawa wa mama

Yanga imefuzu nusu fainali.
Ahsante mama samiah
 
Simba na Yanga wakiacha a na kutumia huo uwanja utakuwa gofu, maana serikali inategemea mapato ya mechi 30 za Simba ma Yanga ili wapate mapato ya kuendesha uwanja
 
Pamoja na wizara nzima kuwajibika ikiwa madam president itampendeza kama viongozi wa wizara walipaswa kuwa wame stapdown wenyewe bila hata ya rais kuwawajibisha..

Kwa nn nasema hivyo, wamesema wenyewe kwenye barua yao(wasingesema ingebaki kuwa siri yao) kwamba lilipotokea hitilafu kwa x1 walishauliwa kuwa uwanja unaendeshwa kwa genereta za uwanja, aseme[emoji124][emoji124][emoji124] halafu nawao wakaona hilo tu linafaa waka[emoji40] kama hawakuona, the ngonjera tena wanakuja na hyo hyo hoja hiyo hyo, halafu kibaya zaidi wanamteua mmtu ili kupisha uchunguzi, jamn ndo watu wanavyo endesha taasisi za serikali?


Ukumbuke jambo hili linaadhiri maandalizi yote na sifa zote za sisi kuandaa mashindano makubwa, kosa likifanyika x1 hyo bahati ila x2 aaaaahaaaa hapana bhana kunamtu mzembe hapo..

Wizara na waziri mjitafakari ni sifa kumlinda Rais na ninyi wenyewe kukwepa panga la Rais kuwakumba,

Nasema tena msifikri wizara mtakuwa salama nmewaibia siri Rais hata nyamaza ni aheri kujiondoa wenyewe kuliko kusubiri kuondolewa...
 
Yes manager mwenyewe alitolewa na kumpangiwa majukumu mengine miezi kadhaa iliyopita
Mchengerwa alimtoa manager wa zamani, akaleta watu wake wa ujuaji na kichwani zero, matokeo ndio haya, uwanja ndani ya miezi 6 pitch imeharibika na tatizo la umeme limekuwa sugu, serikali ya kishikaji haiwezi fanya lolote lenye tija kwa usahihi.
 
Waziri ajiuzulu kwa lipi watu zaidi ya tano wanashindwa kusimamia umeme usikatike kwenye kamechi kamoja hapana wafukuzwe kazi wakajiajiri.
 
Nchi hii imelaaniwa kwa kweli uwanja tumejengewa na wachina lakini sisi kuusimamia tu tumeshindwa hii ni fedheha na aibu kubwa kwa kweli hata kusimamia usafi wa vyoo tu tumeshindwa aisee,nchi hii ilipaswa bado kuongozwa na wakoloni sisi bado kujiongoza wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…