Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Wahusika wapo wanaimba mama anaupiga mwingi wanasahau kazi zao TBS nao wanacheza regge. Kiujumla TFDA hawapo nchini naona.
 
Kalia hiviii, ee hapo hapo binuka binua

Pole
Aiseee una enjoy na image yangu angalia usipige kelele kwanguvu, ukishusha mzigu masikini kukamatia pis ni ngumu sana endelea kusafiria hii ishu
 
Aiseee una enjoy na image yangu angalia usipige kelele kwanguvu, ukishusha mzigu masikini kukamatia pis ni ngumu sana endelea kusafiria hii ishu
Tulia punguza miguno,

Pole
 
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kuthibiti hali imekua mbaya sana serekali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakua mbaya sana
Anza kujidhibiti wewe mwenyewe kwanza kwa kuwacha kunywa mipombe.
 
Wafanyakazi wa TANZANIA KONYAGI wanahusika moja kwa moja kwenye utengenezaji wa KONYAGI FEKI!! Vijiji vya Kanda ya ziwa hasa hasa Kagera na Geita huwezi kukuta bar wanauza Konyagi Genuine hata siku moja.
Ha ha! Acha kuifananisha mbandule ya ndizi na vitu cya ajabu ajabu. Hainaga hang over!.
 
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kuthibiti hali imekua mbaya sana serekali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakua mbaya sana
Je, Hata Kiwingu ni fake?
 
izo fake zina shida nyingi,. coz hazija pimwa kujua zime contain nn apart from ethanol, wanatumia uchachusahaji local, wadudu sio common wakati. fermentation inatakiwa iwe Homoone
 
ili kuepukana na pombe fake kunyweni pombe ambazo sio maarufu kwavile zile maarufu demand ni kubwa ndo maana fake zinakuwepo!
 
Safi sana mkuu Umeelezea kinagaubaga .kweli nihatar kwa afya
 
Siku hizi kinachofanyika ni kutumia vifangashio vya hizi pombe zenye ruhusa kuweka vinywaji vyetu vya asili.
Ni wakati wa kufanya utafiti kubaini athali za pombe za viwandani zisizotokana na mimea.
Hali sio nzuri siku zijazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…