Mbona Kila siku naona watu wanalalamika pombe fake pombe fake ila sijawahi kuona videos au pictures wakizionyesha wamenunua na ikawa pombe fake?😀😀Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana
Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake
Sukari+amira+ majani ya chai..hiyo inaitwa WanzukiKuna pombe zinapikwa Kwa sukari na hamira,wapikaji wakija kwangu kununua hamira huificha wanywaji wasione,ni hatar sana,zinapikwa na ziaiva within a day,wanywaji ukiwaona afya zao ni tete
Unapenda mwenyewe kushikwashikwa hapo,Pombe fake isha Fanya yake
Yaani unafungua Uzi kabisa kwa sababu ya madawa ya kulevya aina ya pombe?Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana
Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake
Tofauti na pombe ninywe kinywaji gani mkuu?nishauriYaani unafungua Uzi kabisa kwa sababu ya madawa ya kulevya aina ya pombe?
Umelazimishwa kunywa? Kama unakunywa pombe basi wewe ni jitu la hovyo kabisa, jibinafsi ,linalozulumu familia yake kwa kutumia asilimia 70 ya mapato yake lenyewe na majitu MINGINE ya hovyo unayoyakuta huko huko baa ysliyotelekeza familia na yanaishi kwa kula nyama mbichi za kupashwa kwenye moto maarufu kama nyama choma.
Ni lijitu la hovyo kabisa ambalo halina uwezo wa kuthibiti tamaa za mwili wake kwa kuharibu mwili wake, kwa madawa hayo ya kulevya aina ya pombe
Ni lidude la hovyo ambalo Kila siku hujitetea au hutumia fedha nyingi kulipa fidia au kuomba msamaa kwa makosa lililoyafanya likuliwa nimeb wia madawa hayo aina ya pombe
Ni jitu la hovyo Sana ambalo limeacha MKE mzuri na vitoto vizuri na kwenda kubeba MAGUMEGUME yenye maradhi mbalimbali anayoyakuta yanajiuza huko yakiwa yamejipiga ma make up kuvunika ngozi iliyoshbuliwa na mahonywa lenyewe likishabwia madawa hayo linabeba mwishowe linakusanya na mahonywa kuyapeleka nyumbani. Hovyo kabisa. Kwani usipokunywa unakuta? Hasara za pombe ni kubwa Sana. Watu wamefilisika kwa ajili ya pombe, ma genius darasani wamekuwa vichaa kwa ajili ya pombe, wafanyakazi wamefukuzwa kazi kwa ajili ya pombe, ndoa zimevunyika kwa ajili ya pombe, wamekufa mapema kwa ajili ya pombe. Kama unakunywa wewe ni jitu la hovyo Sana na libinafsi. Kuna vitu vingi vya kufanya zaidi ya pombe, jikite kwenye michezo, mazoezi, ibada, kwaya, vikundi mbalimbali vya kimaendeleo badilisha hobby na marafiki. Achana kabisa ni madude ya hovyo yanayokushauri kunywa madawa hayo yanayokuletea u nusu kichaa
Wewe mjingaYaani unafungua Uzi kabisa kwa sababu ya madawa ya kulevya aina ya pombe?

Mm nashangaa watu wanalalamikia pombe fake tu!!Tz kila kitu fake
Hadi bikira fakeMm nashangaa watu wanalalamikia pombe fake tu!!
Mitaani kumejaa feki zifuatazo:
1. Sura feki (asante mkorogo)
2. Makalio (trako) fake (asante mchina)
3. Mihogo ya jang'ombe feki (asante mchina).
Siku hizi ukitaka kuchumbia inabidi umpe mchumba wako maji na sabuni anaweza ili ujue muonekano wake halisi
Unaweza ukaenda mbali zaidi ukamuamuru achojoe ili uangalie kama makalio na hips ni halisi ama la
Ndoa ya masanja ilitaka kuvunjika je sababu ilikuwa ni pombe? Je umetafiti kiasi gani mpaka kufikia hizo conclusion..kuna wanakwaya hawanywi pombe lakini wanazagamuana wao kwa wao, whats the difference?Yaani unafungua Uzi kabisa kwa sababu ya madawa ya kulevya aina ya pombe?
Umelazimishwa kunywa? Kama unakunywa pombe basi wewe ni jitu la hovyo kabisa, jibinafsi ,linalozulumu familia yake kwa kutumia asilimia 70 ya mapato yake lenyewe na majitu MINGINE ya hovyo unayoyakuta huko huko baa ysliyotelekeza familia na yanaishi kwa kula nyama mbichi za kupashwa kwenye moto maarufu kama nyama choma.
Ni lijitu la hovyo kabisa ambalo halina uwezo wa kuthibiti tamaa za mwili wake kwa kuharibu mwili wake, kwa madawa hayo ya kulevya aina ya pombe
Ni lidude la hovyo ambalo Kila siku hujitetea au hutumia fedha nyingi kulipa fidia au kuomba msamaa kwa makosa lililoyafanya likuliwa nimeb wia madawa hayo aina ya pombe
Ni jitu la hovyo Sana ambalo limeacha MKE mzuri na vitoto vizuri na kwenda kubeba MAGUMEGUME yenye maradhi mbalimbali anayoyakuta yanajiuza huko yakiwa yamejipiga ma make up kuvunika ngozi iliyoshbuliwa na mahonywa lenyewe likishabwia madawa hayo linabeba mwishowe linakusanya na mahonywa kuyapeleka nyumbani. Hovyo kabisa. Kwani usipokunywa unakuta? Hasara za pombe ni kubwa Sana. Watu wamefilisika kwa ajili ya pombe, ma genius darasani wamekuwa vichaa kwa ajili ya pombe, wafanyakazi wamefukuzwa kazi kwa ajili ya pombe, ndoa zimevunyika kwa ajili ya pombe, wamekufa mapema kwa ajili ya pombe. Kama unakunywa wewe ni jitu la hovyo Sana na libinafsi. Kuna vitu vingi vya kufanya zaidi ya pombe, jikite kwenye michezo, mazoezi, ibada, kwaya, vikundi mbalimbali vya kimaendeleo badilisha hobby na marafiki. Achana kabisa ni madude ya hovyo yanayokushauri kunywa madawa hayo yanayokuletea u nusu kichaa
Huku wanaimba kwaya au?..kuna wanakwaya hawanywi pombe lakini wanazagamuana wao kwa wao, whats
YahHuku wanaimba kwaya au?
Mkaushie hivi unavyomjibu ana furahia.Pombe fake isha Fanya yake
Vipodozi feki je?? Ohhhh Mola tusaidie.Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana