Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma ni dalili ya kuwa na uzito kupita ule uliostahili kuwa nao, mke ampe mzigo ni zoezi tosha kupunguza uzito
 

Dawa yake ni ndogo 2.. pindi anapokoroma mfunge mdomo na pua mpaka kwa kama sekunde 30 hivii na zoezi liwe la kujirudia kama mara 3 kila atakapo koroma uone matokeo yake
 
Dawa yake ni ndogo 2.. pindi anapokoroma mfunge mdomo na pua mpaka kwa kama sekunde 30 hivii na zoezi liwe la kujirudia kama mara 3 kila atakapo koroma uone matokeo yake

yani u totally spoke my mind...t helps
 
ni pm nikuelekeze dawa.hapa watoto wa shule wanaleta utani.mme wangu alikiwa mkoromaji majirani wote walimtambua kwa hilo.alipona kwa mda wa wiki moja tu.
 
labda tumuite MziziMkavu aje atupe ufafanuzi hapa.
Dawa ya kukoroma Nenda duka la dawa kanunuwe Dawa inayoitwa kwa jina hili ( anti-snore )
ahsante DEMBA kwa kumuita huyu specialist!mambo vipi lakini?


DAWA YA MTU KUKOROMA FANYA HIVI:

Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka
mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka

mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza
utahisi kuna misuli nyuma na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasamisuli

hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2
mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha

baada ya siku 10-20 kutegemea mtu
hadi mtu.

mtu anaekoroma mwili wake haupati mapumziko yakutosha na mara nyingi huamka huku bado akihisi uchovu na husababisha watu wengine kunenepa sana na wengine kukonda ikitegemea mwili wa muhusika na homoni zake.
 
Awe anamnyunyizia sukari mdomo anapoanza kukoroma kila akikoroma awe anamnyunyizia sukari atakuwa anajiramba kwa utamu na kuwacha kukoroma kwa masaa na baada ya wiki mbili hiyo tabia itaondoka kabisa
 
Dawa yake ni kumfinya kila unaposhtuka usiku. Mfinye mara nyingi uwezavyo mpaka awe kama anataka kuamka.
 
Kiongozi ukikutana naye tena habari maelezo (maana seem wewe ni msemaji wake) mwambie ampige mumewe picha akupe uje utuwekee tuone!
 
Awe anamlaza vzr, kuongeza air&blood circulation muhimu!

Pia mazoezi yanasaidia
 

appreciation mkuu!

thanks indeed!
 
Watu wengi wenye vitambi ukoloma Sana je mume wake Ana kitambi?
 
ni pm nikuelekeze dawa.hapa watoto wa shule wanaleta utani.mme wangu alikiwa mkoromaji majirani wote walimtambua kwa hilo.alipona kwa mda wa wiki moja tu.

Acha ujinga.
Soma slogan ya JF, au unataka umtoze hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…