Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma ni dalili ya kuwa na uzito kupita ule uliostahili kuwa nao, mke ampe mzigo ni zoezi tosha kupunguza uzito
 
habari za sikukuu wana mmu? my hope that you are all good!

jamani nisiwachoshe,

kama kichwa kinavyojieleza, hiyo ni habari ambayo mama mmoja anailalamikia kwamba mume wake anayo kwa muda

mrefu sana sasa. yani anashindwa kulala usiku pale mume wake anapoanza kukoroma, na ukweli ni kwamba, kwa jinsi

anavyosema, hata mtu akiwa nje, anaweza kumsikia kabisa mume wake akiwa katika kukoroma. je, tatizo hili

linasababishwa na nini na dawa yake hasa ni nini wakuu?

jamani mimi nimeshindwa kumpa ushauri katika hili tatizo kwa sababu sina ujuzi nalo.

wana mmu, nina imani kwamba mtatoa mwanga juu ya hili tatizo! nina imani kwamba nitapata majibu mema!

heri ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya!

1510782_562996287118165_853570530_n.jpg

Dawa yake ni ndogo 2.. pindi anapokoroma mfunge mdomo na pua mpaka kwa kama sekunde 30 hivii na zoezi liwe la kujirudia kama mara 3 kila atakapo koroma uone matokeo yake
 
Dawa yake ni ndogo 2.. pindi anapokoroma mfunge mdomo na pua mpaka kwa kama sekunde 30 hivii na zoezi liwe la kujirudia kama mara 3 kila atakapo koroma uone matokeo yake

yani u totally spoke my mind...t helps
 
ni pm nikuelekeze dawa.hapa watoto wa shule wanaleta utani.mme wangu alikiwa mkoromaji majirani wote walimtambua kwa hilo.alipona kwa mda wa wiki moja tu.
 
habari za sikukuu wana mmu? my hope that you are all good!jamani nisiwachoshe,kama kichwa kinavyojieleza, hiyo ni habari ambayo mama mmoja anailalamikia kwamba mume wake anayo kwa muda mrefu sana sasa. yani anashindwa kulala usiku pale mume wake anapoanza kukoroma, na ukweli ni kwamba, kwa jinsi anavyosema, hata mtu akiwa nje, anaweza kumsikia kabisa mume wake akiwa katika kukoroma. je, tatizo hili linasababishwa na nini na dawa yake hasa ni nini wakuu? jamani mimi nimeshindwa kumpa ushauri katika hili tatizo kwa sababu sina ujuzi nalo.wana mmu, nina imani kwamba mtatoa mwanga juu ya hili tatizo! nina imani kwamba nitapata majibu mema!heri ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya!
1510782_562996287118165_853570530_n.jpg
labda tumuite MziziMkavu aje atupe ufafanuzi hapa.
Dawa ya kukoroma Nenda duka la dawa kanunuwe Dawa inayoitwa kwa jina hili ( anti-snore )
ahsante DEMBA kwa kumuita huyu specialist!mambo vipi lakini?
sn.jpg

DAWA YA MTU KUKOROMA FANYA HIVI:

Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka
mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka

mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza
utahisi kuna misuli nyuma na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasamisuli

hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2
mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha

baada ya siku 10-20 kutegemea mtu
hadi mtu.

mtu anaekoroma mwili wake haupati mapumziko yakutosha na mara nyingi huamka huku bado akihisi uchovu na husababisha watu wengine kunenepa sana na wengine kukonda ikitegemea mwili wa muhusika na homoni zake.
 
Awe anamnyunyizia sukari mdomo anapoanza kukoroma kila akikoroma awe anamnyunyizia sukari atakuwa anajiramba kwa utamu na kuwacha kukoroma kwa masaa na baada ya wiki mbili hiyo tabia itaondoka kabisa
 
Dawa yake ni kumfinya kila unaposhtuka usiku. Mfinye mara nyingi uwezavyo mpaka awe kama anataka kuamka.
 
Kiongozi ukikutana naye tena habari maelezo (maana seem wewe ni msemaji wake) mwambie ampige mumewe picha akupe uje utuwekee tuone!
 
Awe anamlaza vzr, kuongeza air&blood circulation muhimu!

Pia mazoezi yanasaidia
 
Dawa ya kukoroma Nenda duka la dawa kanunuwe Dawa inayoitwa kwa jina hili ( anti-snore )
sn.jpg

DAWA YA MTU KUKOROMA FANYA HIVI:

Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpaka
mwisho,rudisha ulimi ndani mpaka

mwisho-rudia mara 20. Ukimaliza
utahisi kuna misuli nyuma na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasamisuli

hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2
mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha

baada ya siku 10-20 kutegemea mtu
hadi mtu.

mtu anaekoroma mwili wake haupati mapumziko yakutosha na mara nyingi huamka huku bado akihisi uchovu na husababisha watu wengine kunenepa sana na wengine kukonda ikitegemea mwili wa muhusika na homoni zake.

appreciation mkuu!

thanks indeed!
 
Watu wengi wenye vitambi ukoloma Sana je mume wake Ana kitambi?
 
ni pm nikuelekeze dawa.hapa watoto wa shule wanaleta utani.mme wangu alikiwa mkoromaji majirani wote walimtambua kwa hilo.alipona kwa mda wa wiki moja tu.

Acha ujinga.
Soma slogan ya JF, au unataka umtoze hela?
 
Back
Top Bottom