Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari za sikukuu wana mmu? my hope that you are all good!
jamani nisiwachoshe,
kama kichwa kinavyojieleza, hiyo ni habari ambayo mama mmoja anailalamikia kwamba mume wake anayo kwa muda
mrefu sana sasa. yani anashindwa kulala usiku pale mume wake anapoanza kukoroma, na ukweli ni kwamba, kwa jinsi
anavyosema, hata mtu akiwa nje, anaweza kumsikia kabisa mume wake akiwa katika kukoroma. je, tatizo hili
linasababishwa na nini na dawa yake hasa ni nini wakuu?
jamani mimi nimeshindwa kumpa ushauri katika hili tatizo kwa sababu sina ujuzi nalo.
wana mmu, nina imani kwamba mtatoa mwanga juu ya hili tatizo! nina imani kwamba nitapata majibu mema!
heri ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya!
![]()
Dawa yake ni ndogo 2.. pindi anapokoroma mfunge mdomo na pua mpaka kwa kama sekunde 30 hivii na zoezi liwe la kujirudia kama mara 3 kila atakapo koroma uone matokeo yake
habari za sikukuu wana mmu? my hope that you are all good!jamani nisiwachoshe,kama kichwa kinavyojieleza, hiyo ni habari ambayo mama mmoja anailalamikia kwamba mume wake anayo kwa muda mrefu sana sasa. yani anashindwa kulala usiku pale mume wake anapoanza kukoroma, na ukweli ni kwamba, kwa jinsi anavyosema, hata mtu akiwa nje, anaweza kumsikia kabisa mume wake akiwa katika kukoroma. je, tatizo hili linasababishwa na nini na dawa yake hasa ni nini wakuu? jamani mimi nimeshindwa kumpa ushauri katika hili tatizo kwa sababu sina ujuzi nalo.wana mmu, nina imani kwamba mtatoa mwanga juu ya hili tatizo! nina imani kwamba nitapata majibu mema!heri ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya!![]()
Dawa ya kukoroma Nenda duka la dawa kanunuwe Dawa inayoitwa kwa jina hili ( anti-snore )labda tumuite MziziMkavu aje atupe ufafanuzi hapa.
ahsante DEMBA kwa kumuita huyu specialist!mambo vipi lakini?
Dawa ya kukoroma Nenda duka la dawa kanunuwe Dawa inayoitwa kwa jina hili ( anti-snore )![]()
DAWA YA MTU KUKOROMA FANYA HIVI:
Fungua mdomo wako mpaka mwisho, toa ulimi na usukume nje mpakamwisho,rudisha ulimi ndani mpaka
mwisho-rudia mara 20. Ukimalizautahisi kuna misuli nyuma na pembeni ya koo umeifanyisha kazi,sasamisuli
hii ikilegea ndio inayosababisha kukoroma. Fanya zoezi hili mara 2mpaka 3 kwa siku na tatizo hili litaisha
baada ya siku 10-20 kutegemea mtuhadi mtu.
mtu anaekoroma mwili wake haupati mapumziko yakutosha na mara nyingi huamka huku bado akihisi uchovu na husababisha watu wengine kunenepa sana na wengine kukonda ikitegemea mwili wa muhusika na homoni zake.
Hivi kwani ni lazima ulale na mkeo/mumeo?
Dawa yake ni kumfinya kila unaposhtuka usiku. Mfinye mara nyingi uwezavyo mpaka awe kama anataka kuamka.
Kiongozi ukikutana naye tena habari maelezo (maana seem wewe ni msemaji wake) mwambie ampige mumewe picha akupe uje utuwekee tuone!
ni pm nikuelekeze dawa.hapa watoto wa shule wanaleta utani.mme wangu alikiwa mkoromaji majirani wote walimtambua kwa hilo.alipona kwa mda wa wiki moja tu.
Hivi kwani ni lazima ulale na mkeo/mumeo?