mgendege
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 322
- 388
Jamani dawa yake nini kukoroma mtu kama amelala? Yaani nina mtu wangu anakoroma mpaka usiku nawaza mengine lakini ndo wa kufa na kuzikana.
Nikitoka kazini usiku kama kuna vyura ndani; nikimuliza ananiambia naye hajijui kama anakoromaga. Akilala pasua kichwa kweli hata ndoa unaweza samehe.
Mwenye ujuzi na hii kitu jama.
Nikitoka kazini usiku kama kuna vyura ndani; nikimuliza ananiambia naye hajijui kama anakoromaga. Akilala pasua kichwa kweli hata ndoa unaweza samehe.
Mwenye ujuzi na hii kitu jama.