afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
USHAKUNAKU...UDAKU HUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upoooo?
Ni kweli kwa sasa ni mnene ila nilianza kukoroma tangu mdogo, Nitajaribu kutafuta hiyo position kwa msaada wa watu wa karibu. Asante.Una uzito gani? Unene huwa unachangia kwani ukilala manyama uzembe huziba njia ya hewa.
Tafuta position ambayo unapumua vizuri ukiwa usingizini.
Tafadhali wana JF naomba niambiwe dawa ya kuzuia kukoroma kwani nakoroma sana hadi imekuwa kero kwa mamsapu na majirani. Kuna siku nesi alitaka kunipa huduma ya kufa vizuri baada ya kusikia nakoroma akadhani ndo nakata roho. Asante sana kwa msaada wenu.
Kukoroma ni Dalili ya upungufu wa nguvu za kiume...SeriouslyUna uzito gani? Unene huwa unachangia kwani ukilala manyama uzembe huziba njia ya hewa.
Tafuta position ambayo unapumua vizuri ukiwa usingizini.
Ukiwa usingizini unajuaje kuwa haujalala hizo position?
Asante sana kwa picha murua kabisa. nNtafanyia kazi.
hiyo piha ya pili mstar wa juu kutokea kushoto kha na usingizi unakuja kabisa??View attachment 1111334
Hizi position za usingizi zinakuhakikishia kupumua kwa amani
Wanaume wa Dar ndo wanalala hivo mkuu... Sisi wanaume wa mikoani tunalalia mgongo mwanzo mwisho.
Ball pen.Tafadhali wana JF naomba niambiwe dawa ya kuzuia kukoroma kwani nakoroma sana hadi imekuwa kero kwa mamsapu na majirani. Kuna siku nesi alitaka kunipa huduma ya kufa vizuri baada ya kusikia nakoroma akadhani ndo nakata roho. Asante sana kwa msaada wenu.
Duh si ndo mwanzo wa kumeza hlo bombaBall pen.
Toa ule mrija wa ndani wa wino bakisha bomba tupu. Wakati wa kulala weka hilo bomba mdomoni kama sigara.
Hukoromi tena.