Angalia namna unavyolala na aina ya mto na godoro unalotumia. Ukilala chali mara nyingi na mto laini lazima ukorome
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Hii hali inatesa sana kama wewe ndo unaisikia. Kama ndo mimi sipati usingizi kabisa nikiwa na mtu anayekoroma.
Afazali yako mi nna jamaa Niko nae ghetto usiku ukusahau kufunga vioo kwa mkoromo wake vitaslide mpaka kunakucha halafu sauti yake nyororo tu sijui kooni kafungwa kitu gani cha tofauti na maulana.Sijui ni kiswahili Sanifu au sio lakini Namaanisha kukoroma yaani sometime huwa tunalala wote chumba kimoja lakini vitandaa tofauti tukiwa Kazini lakini Huyo Rafiki angu ni anakoroma kupita kiasi kuna muda mimi usingizi huwa unaisha kabisa kwasababu yake ya kukoroma
Ni kama Trekta hivi linalima yaani aboa kwa kweli! Sasa najiuliza Mke wake wanae lala nae kitanda kimoja inakuaje? anamvumilia kiasi gani?? yaani hapana kwa kweli
kwanza kukoroma ni nini? Ni ugonjwa au? ili kama ni ugonjwa nimwambie aende hospital nataka kujua!
Danya na wewee
Upoooo?Nambie