Mwembambamkoromaji kama sio chineneeee sijui..
mabonge nyanya wengi sana wanakoroma..
kama sio mnene basi subiri wataalamu wakuje..
SAsa yeye mwembambaAkate uzito,hata mimi hiyo kitu ilinisumbua sana,lakini nilipoamua kushusha kilo zangu sasa hivi niko kwenye silence nzuri sana...
Ndo imetoka hiyo mpaka kuzikana
Jaribu kumpeleka kwa specialist wa koo na pua waangalie uwezekano wa kuwa ameota nyama kwa ndani inazuaia kupumua vizuri hasa ukiwa umelala...ingawa sababu zaweza kuwa zaidi ha hayoo. Kama uko Dar nenda Mwembechai kuna specialist anaitwa Prof Ekenywa nyuma ya BP MWembechai.
uliza utapaona...
Pole Sana ANAWEZA kuwa Na moja Kati ya yafuatayoDoctors nawasalimu , naomba msaada kwenu mpenzi wangu anakoroma sana akilala kiasi akitangulia yeye kupata usingizi inakula kwangu kwa sababu sauti na vibration yake inayotoka hapo huwezi lala utakesha tu
Kuna wakati nilihisi labda anachoka sana lakini hata kama hajafanya kazi yoyote wala kutoka kwenda mahali bado akilala atakoroma kuliko tractor la kuvunia miwa [emoji22]
kuna wakati anakoroma kama ana kitu kooni hadi namtingisha anashtuka namuuliza hujisikii kukosa pumzi anasema yuko sawa tu [emoji29]
Ananiambia eti nikimsikia anakoroma nimwamshe anadhani akiwa katika deep sleep ndio anakoroma kumbe akifunga jicho tu sio mchana sio usiku sio kitandani au sitting room anakoroma faster. Halafu anasema eti ukoo wao mzima wanakoroma so yeye kazoea hata wakikoroma yeye anapata usingizi wake ananishangaa kwa kushindwa kulala kwa mkoromo wake
Naomba kujua tiba yake nini jamani nachoshwa na hii hali na jamaa nampenda natamani kumsaidia [emoji12]
asante sana nitakutafuta mkuu ππ½Pole Sana ANAWEZA kuwa Na moja Kati ya yafuatayo
Moja nyama za kwenye pua Yaani nasal polyps
Mbili enlarged tonsils Yaani tonsilitis
Hivyo hupelekea kuziba ama Kupunguza njia ya hewa Na kupelekea kukoroma
KARIBU sana
0762291006
Ni mnene Sana??A
asante sana nitakutafuta mkuu [emoji1431]
Check physiology kama ana septum-nose deviation, obesity, use of alcohol, bad sleeping position (esp. chali/kulalia mgongo)Doctors nawasalimu , naomba msaada kwenu mpenzi wangu anakoroma sana akilala kiasi akitangulia yeye kupata usingizi inakula kwangu kwa sababu sauti na vibration yake inayotoka hapo huwezi lala utakesha tu
Kuna wakati nilihisi labda anachoka sana lakini hata kama hajafanya kazi yoyote wala kutoka kwenda mahali bado akilala atakoroma kuliko tractor la kuvunia miwa [emoji22]
kuna wakati anakoroma kama ana kitu kooni hadi namtingisha anashtuka namuuliza hujisikii kukosa pumzi anasema yuko sawa tu [emoji29]
Ananiambia eti nikimsikia anakoroma nimwamshe anadhani akiwa katika deep sleep ndio anakoroma kumbe akifunga jicho tu sio mchana sio usiku sio kitandani au sitting room anakoroma faster. Halafu anasema eti ukoo wao mzima wanakoroma so yeye kazoea hata wakikoroma yeye anapata usingizi wake ananishangaa kwa kushindwa kulala kwa mkoromo wake
Naomba kujua tiba yake nini jamani nachoshwa na hii hali na jamaa nampenda natamani kumsaidia [emoji12]View attachment 1651616
Hapana siyo mneneNi mnene Sana??
Hii njia nimeijaribu na imefanya kaziKukoroma kunaletwa na misuli ya koo kutokua na nguvu na njia rahisi ya kuimarisha misuli hii na kuondoa tatizo la kukoroma ni kutoa ulimi mpaka mwisho mara 20 kutwa mara 2 au 3 kwa siku.Baada ya wiki utaona tafauti kubwa na kupona kabisa baada ya wiki 2 au 3.Hii ni njia rahisi ambayo inaweza kufanywa na mtu yoyote na mimi mwenyewe nilipona kwa njia hii.
unatoa ukiwa umelala au ata kama ume kaaHii njia nimeijaribu na imefanya kazi
Hii mzee baba ukiwa umekaaa au unatembea fanya mara nyingi nyingi kwa siku ndani ya wiki matokeo utaanza kuyaona pia wakati wa kulala kunywa maji ya uvugu vugu usinywe kitu cha baridiunatoa ukiwa umelala au ata kama ume kaa