Hii naamini inawakumba wanandoa wengi,kukoroma. Yaani unakuta mwanaume anakoroma korrooo korrroo yaani mpaka basi.Wenye mauzoefu na kadhia hii hebu twambieni huwa mnai handle vipi kadhia hii? Jamani hivi kukoroma kuna tiba? maaana..........
Bishanga mbona Dr. Riwa ameshwahi kulitolea ufafanuzi jambo hili?
Hebu jaribu kupekua kuna wataalamu kadhaa waliweza kulielezea kwa utaalamu zaidi........
Dr Riwa ni nani Mkuu?
Nenda kwenye lile jukwa la wavaa makoti meupe utakutana na Dr Riwa
our jf docrordr riwa ni nani mkuu?
our jf docror
ful respect to dr riwa jamani
Pitia hapa kuna mawazo juu ya hili https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/152890-kukoroma-usingizini-nini-sababu-na-tiba.html
Hii naamini inawakumba wanandoa wengi,kukoroma. Yaani unakuta mwanaume anakoroma korrooo korrroo yaani mpaka basi.Wenye mauzoefu na kadhia hii hebu twambieni huwa mnai handle vipi kadhia hii? wengine nasikia huama hata vyumba.Jamani hivi kukoroma kuna tiba? maaana..........
Umeelewa ee? haya THREAD IMEFUNGWA
\Nashukuru sana kaka Bishanga kwa kuanzisha thread hii, it is very useful to me. Tatizo hili limenisumbua kwa miaka mingi sasa toka nikiwa mdogo kiasi kwamba kuna shemeji zako kadhaa wamenikimbia kwa sababu hii.
Sababu naona umeshapewa nyingi huko juu, tiba rahisi na yenye kuzuia papo kwa papo ni:
Chukuwa pen ya bic or similar, toa mrija wa wino wa ndani, wacha wazi tundo zote za pen, weka hiyo "pen pipe" mdomoni kwa mtu anae koroma, mwache alale nayo kama sigara mdomoni. Njoo unipe jibu kesho.
Wewe ni MOD??
profesa usicheke bana,hujafa hujaumbika isitoshe who knows labda mmu kuna wakoromaji kibao na hawajui tiba,acha uzi uendelee Mkuu.
Mi ni vice wake.
Usiwe na shaka Katavi mimi rais wa ma MOD nasema uzi uendelee. Kuna jamaa wanakoroma hata wakati kiwa sebuleni mnaongea. Yaani akipitiwa usingizi kidogo tu mashine inaanza kazi.