mbaya zaidi kama mmegombana wewe hupati usingizi kwa ajili ya kugombana halafu yeye anakoroma!!!!!!!! kuna movie moja mwanamke wa kizungu kagombana na mumewe wee halafu hamna muafaka, kupanda kitandani mwanaume usingizi na kukoroma juu, mwanamke kamuangalia weee hasira zikamjaa wacha amwekee vidole puani mwanaume alikurupuka kama mbwa mwizi, hakyanan angeweza hata kumuua mwenzake.
Kukoroma kunamsumbua sana partner wako haswa kama ni mtu wa kuchelewa kupata usingizi anakawia sana kulala kwa ajili ya hizo kelele, ila smtm sleeping position nayo inaweza kuchangia, mtu kalewa mipombe wenye hiyo tabia ya kukoroma akalala na mgongo sijui ndio kifudifudi mkoro wake sio wa kawaida