Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

kukoroma ni tatizo linalo wapata watu wengi sana sasa hivi sababu zake zipo nyingi kitaaluma husababishwa na matatizo ndani ya koo la hewa yani nasal cavity pale ambapo mtu anakuwa amelala misuli ya koo la hewa inasinyaa nakufanya mzunguko wa hewa kuwa washida kadri mtu anapo jitahidi kuvuta hewa ndani inatokea misuguano ya misuli iliyo sinyaa ndani ya koo la hewa hapo sauti hutoka pia kuna sababu zinazo changia tatizo hilo kama uvutaji sigara unywaji wa pombe kupita kiasi hata kutofanya mazoezi pia nakushauri ufanye mazoezi kwa wingi
 
Wana JF,

Nina mtoto wangu wa kiume mwenye umri wa miaka mitano kasoro kidogo. Huyu mtoto kwa muda mrefu (kama mwaka na kitu) amekuwa anakoroma sana usiku anapokuwa amelala. Kinachonipa tabu ni wakati mwingine anakuwa kama pua zimeziba (na kushtuka-shtuka). Hali inakuwa zaidi anapokuwa na mafua. Na kitu kingine ni kuwa amekuwa na kifua cha muda mrefu sana, kikipotea ni kama wiki tu then kitarudi tena. Nipo Dodoma, na nimetembea naye sana katika vituo vya tiba, kikubwa alichowahi pimwa hapa hospitali ya mkoa ni TB (hakukutwa nayo). Sasa amekuwa wa kubadilishiwa "syrup" za kukohoa ambazo sioni unafuu wake.

Kwa suala la kupumua usiku, niliwahi kushauriwa nimpeleke wakacheki "vunyama vya pua". Wakammulika na "kitochi" na kuniambia viko "normal", na kwamba kwa umri wake hata kama vingekuwa "vikubwa" katika ukuaji wake shida ingekwisha.

Jaman sina amani kabisa, maana dogo anakohoa na hizo "syrup" hazisaidii. Nahitaji kufahamu ni Hospitali gani naweza kuwapata "wataalamu" wa matatizo haya. [Natanguliza shukrani]
Pole kaka. Ngoja tusubiri wataalam punde
 
Je mtoto akinywa maji wakati wa kuzaliwa anaweza akawa anakoroma akilala. Naomba ushauri wandugu. Na ni tiba gani ambayo anaweza kupata?
 
Revolutionary New Product Gives Hope to Those Suffering From Chronic Snoring (Even This Stubborn Guy!)
photo_home.jpg

I’ll admit it – I (used to) snore. Badly. Badly enough that my wife not only complained, but was also afraid that I had Sleep Apnea. And I was afraid too. Afraid that I was going to have to don the dreaded CPAP mask. Really? A CPAP? I’m only in my 40’s. I’m not ready for that. But yea, I snore. Plus, I felt tired – all the time.

I denied it for a while, like most men do. Then my wife pretty much forced me to look into the CPAP breathing mask to cure my snoring. I hated the thought of it. I hated the thought of setting it up. The noise. The obvious uncomfortable restriction. And I hated the thought of travelling with it (taking a CPAP on vacation has to be a serious buzzkill). But I didn’t know of any alternative.
Until now.
Truth be told, I can be stubborn. I put off doing anything about my snoring for years. My wife was unhappy, but hey, *I* didn’t hear myself snore, so I figured it was no big deal. But the sleep apnea thing woke me up (pardon the pun). I finally relented, and said I’d do some research. And that’s when my eyes were opened. I not only learned a lot about snoring and Obstructed Sleep Apnea (OSA), I also found a great solution that didn’t require a CPAP.
Here’s What I Found:
To start, I learned that snoring is a big problem, and an indicator of OSA, which leads to all manner of health problems, like:
  • Acid reflux
  • Frequent nighttime urination
  • Memory loss
  • Stroke
  • Depression
  • Diabetes
  • Heart attack
So I continued to research and found a case study – one that changed everything. It was published by Eastern Virginia Medical School’s Division of Sleep Medicine in the Journal of Clinical Sleep Medicine, and concludes that wearing a simple chin-strap is not only the simplest treatment for snoring and OSA, but it’s also the most effective.

Better than CPAP devices…

Better than nasal strips…

And certainly better than snoring.
Should I try it? Are you kidding?
A simple chin strap? I raced at the chance – I mean, why not try it?

And BAM – that was it. My snoring and sleep apnea were instantly cured.

The chin-strap (known as MySnoringSolution) is simplicity combined with advanced medical thinking, and the results are impressive. It works by supporting the lower jaw and tongue, which prevents obstructions of the airway (this is the most common cause of snoring and sleep apnea). Bottom line: it works.

Yea yea yea, I know this revolutionary chin strap is not the most attractive piece of bedtime wear you can find, but it’s a million times better than a CPAP machine, and my wife is happy (and you know what they say about happy wives…). Plus, the lightweight material is very comfortable. I don’t even know it’s there.

Thousands of people have used the MySnoringSolution chin-strap to get a quieter, better night’s sleep. I know I’m sleeping deeper than ever – this simple chin strap has changed my life.
An effective snoring cure for just $119!
You can only buy the “My Snoring Solution” Chinstrap from This Website. Best of all, it’s now being offered in a “2 for 1” deal (that’s buy one, get one free), and also comes with a 100% satisfaction guarantee.

You have zero to lose, except snoring. If you want to stop snoring, give this a try.
 
Watu wengi wana tabia ya kukoroma wanapolala, lakini kukoroma siyo kuzuri sana kwani familia yako pengine ishindwe kupata usingizi vizuri kutokana na makelele.

ulnayoyatengeneza na kwa upande mwingine, kukoroma kunamaanisha kuwa pumzi zako haziko sawa, hata baadhi ya wakati kukoroma kunaweza kusababisha kukosa pumzi na kupelekea kifo. Kwa hivyo, tuangalie tips kadhaa zinazoweza kubadilisha hali hiyo:
Kwanza ni kuchagua mito laini na inayoweza kufanya shingo yako iwe vizuri, ambayo itasaidia kupumua;

Pili ni kutumia mashine ya (humidifier) ili hewa ndani ya chumba iwe ya unyevu na kuepuka koo yako kuwa kavu;

Tatu, kunywa asali kidogo kulainisha koo yako na usinywe pombe kwani inapandisha shinikizo lako la damu na kuwa juu na kubana koo lako pamoja na kuzuia pumzi.
Nne, kama tunavyosema kila siku, fanya mazoezi mara kwa mara
 
Kunywa greesi , kilainishi cha Mashine kila siku kabla ya kulala kila siku Mara 1 kabla ya kulala kwa wiki 2.
Ukinywa yenye oil itape deza zaidi maana msuguano utaisha mapema zaidi
 
Kunywa greesi , kilainishi cha Mashine kila siku kabla ya kulala kila siku Mara 1 kabla ya kulala kwa wiki 2.
Ukinywa yenye oil itape deza zaidi maana msuguano utaisha mapema zaidi
Kilainishi cha mashine?ndo kipi hicho?
 
W
Waungwana naombeni msaada wa ushauri juu ya tatizo la mtoto wng.
october 2016 tulimpeleka kwa kairuki mikocheni hosptl kwa specialist wa sikio,pua na koo....

Tukaambiwa anasumbuliwa na nyama za pua,akafanyiwa upasuaji mdogo,hata hivyo tangu afanyiwe huo upasuaji hatujawahi kuona nafuu huu ni mwezi wa tatu sasa....kifua na mafua havipoi kwake...

Dawa tunazopewa ni kama zinatuliza tuu,lakini sio za kuondoa tatizo la kukoa na mafua yake,yaani usiku ni shida anapumua kwa tabu na mdomo wazi....kukoroma sasa.....??...mpaka hatulali.....

Msaada kutoka jukwaa hili maoni ushauri,pengine wapi naweza kwenda kupata ufumbuzi wa tatizo hili,kiukweli mwanangu anapata tabu sana nyakati za usiku alalapo na hilo tatizo....

nawasilisha tafadhari.....
 
waungwana naombeni msaada wa ushauri juu ya tatizo la mtoto wng.
october 2016 tulimpeleka kwa kairuki mikocheni hosptl kwa specialist wa sikio,pua na koo....tukaambiwa anasumbuliwa na nyama za pua,akafanyiwa upasuaji mdogo,hata hivyo tangu afanyiwe huo upasuaji hatujawahi kuona nafuu huu ni mwezi wa tatu sasa....kifua na mafua havipoi kwake...dawa tunazopewa ni kama zinatuliza tuu,lakini sio za kuondoa tatizo la kukoa na mafua yake,yaani usiku ni shida anapumua kwa tabu na mdomo wazi....kukoroma sasa.....??...mpaka hatulali.....

msaada kutoka jukwaa hili maoni ushauri,pengine wapi naweza kwenda kupata ufumbuzi wa tatizo hili,kiukweli mwanangu anapata tabu sana nyakati za usiku alalapo na hilo tatizo....

nawasilisha tafadhari.....

Nilihisi Ni hizo nyama Za pua... kama alifanyiwa Na Hakuna nafuu tafuta hospital nyingine U mpeleke. Huenda hawakutoa zote
NB: wanasema uwezekano wa kurudi Kwa hivyo vinyama Ni mkubwa, Tafuta daktari/,hospital afanyiwe uchunguzi wa kina. Pole Kwa kuuguza,MUNGU atakufanyia wepesi.
 
Back
Top Bottom