Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu mbona unarusha mawe Ikulu,mandata wakikushukia utapona mazee?
Nasema ukweli kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unarusha mawe Ikulu,mandata wakikushukia utapona mazee?
Nasema ukweli kaka.
mmmmhhh hiyo ngumu maana ukimgeuza jamaa anashtuka usingizini,mwisho anaishia kukununia.
Nasema ukweli kaka.
Hus,kwanini tuandikie mate na wino upo? weekend karibu for a short trip to Zanzibar Kempinsk,nice place Kamuvenpik kenu cha mtoto.
Hii naamini inawakumba wanandoa wengi,kukoroma. Yaani unakuta mwanaume anakoroma korrooo korrroo yaani mpaka basi.Wenye mauzoefu na kadhia hii hebu twambieni huwa mnai handle vipi kadhia hii? wengine nasikia huama hata vyumba.Jamani hivi kukoroma kuna tiba? maaana..........
Inawezekana una ugonjwa unaojulikana kama sleep apnea.....kama wewe ni mnene loss 10 percent of your weight....trust me itaisha.....sleep apnea is a very dangerous desease it may cause heart attack.
jamaniii! wey hujui harusi za kiswahili na misiba shurti mlale mkekani? lol!

kama huyu?
<a onclick="_gaq.push(['_trackEvent', 'Outgoing', 'www.youtube.com', '/watch?v=hUaw4jFDbkM&feature=player_detailpage']);" rel="nofollow" href="http://www.youtube.com/watch?v=hUaw4jFDbkM&feature=player_detailpage" target="_blank">
kama maiti?dawa ni ya kukoroma ni simple sana ingawa umepewa majibu ambayo ni complicated, unapolala akikisha unanyosha vizuri shingo yako ili hewa ipite bila shida, usijikunje kunje sana na unapolala akikisha pamenyoka vizuri