Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka alale kwa house gelo?
Somethng tells me unahusika in one way to this story....
Anyway jaribu ushaur mmojammoja mpaka upate ule effective.
ndio ni lazima!
kwani nini maana ya kuwa mwili mmoja?
concept ya mwili mmoja iko applicable mostly kitandani!
mengineyo mbwembwe tu!
Hii concept ya mwili mmoja mi sikubaliani nayo. Hata mkioana kila mtu anabaki na mwili wake na ndio maana mnaweza kuachana au mmoja kufa na mwingine kubaki.
ila niliwahi kusikia wazee wakisema kwamba mtu akikoroma muite kwa jina ambalo silo lake. mfano kama anaitwa juma unaweza muita joseph kama akiitika basi hata koroma tena(imani za kijadi hizo) sijawahi jaribu
Hizi shule za dot com ndio zinawapotosha hivi?
ila niliwahi kusikia wazee wakisema kwamba mtu akikoroma muite kwa jina ambalo silo lake. mfano kama anaitwa juma unaweza muita joseph kama akiitika basi hata koroma tena(imani za kijadi hizo) sijawahi jaribu
Hii concept ya mwili mmoja mi sikubaliani nayo. Hata mkioana kila mtu anabaki na mwili wake na ndio maana mnaweza kuachana au mmoja kufa na mwingine kubaki.
Mtu hukoroma akilala vibaya na kushindwa kupumua ipasavyo dawa yake hakuna ila akianza kukoroma mpe vipepsi vya mbavu ili aamuke na kulala vizuri pili kama ni mlevi aache pombe na kama ni mnene apunguze mwili
Ukilala na mtu anaye koroma ni shidaa..
Mtu hukoroma akilala vibaya na kushindwa kupumua ipasavyo dawa yake hakuna ila akianza kukoroma mpe vipepsi vya mbavu ili aamuke na kulala vizuri pili kama ni mlevi aache pombe na kama ni mnene apunguze mwili
umesomeka mkuu.
Mh jamani nilikua na boy anakoroma jaman upati ucngzi kbsa alafu kwa sauti hadi nje ! Haya mambo acheni tu
Hivi inakuwaje na mtoto mdogo nae anakoroma? Manake kuna mdau amesema kwamba uchovu na pombe vichangia, sasa hapa itakuwaje?