Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

linasababishwa na nini na dawa yake hasa ni nini wakuu?

1510782_562996287118165_853570530_n.jpg

wewe umeacha kukoroma unamuulizia rafiki yako? usinitoe manundu plz Excel
 
Last edited by a moderator:
Somethng tells me unahusika in one way to this story....
Anyway jaribu ushaur mmojammoja mpaka upate ule effective.
 
Ulitaka alale kwa house gelo?

Kila mtu alale peke yake kwenye kitanda chake. Wakitaka mambo wanastuana tu. Hii mambo ya kulala na mtu mimi sometimes huwa sifagilii kabisa. Sioni kama ni tatizo wakilala kila mtu na kitanda chake. Hizi kero nyingine watu wanajitakia wenyewe tu.

We mtu kashazoea kulala mwenyewe halafu leo na midevu yake unataka kulala naye, kwa nini asikukere?
 
ndio ni lazima!

kwani nini maana ya kuwa mwili mmoja?

concept ya mwili mmoja iko applicable mostly kitandani!

mengineyo mbwembwe tu!

Hii concept ya mwili mmoja mi sikubaliani nayo. Hata mkioana kila mtu anabaki na mwili wake na ndio maana mnaweza kuachana au mmoja kufa na mwingine kubaki.
 
Hii concept ya mwili mmoja mi sikubaliani nayo. Hata mkioana kila mtu anabaki na mwili wake na ndio maana mnaweza kuachana au mmoja kufa na mwingine kubaki.

Hizi shule za dot com ndio zinawapotosha hivi?
 
ila niliwahi kusikia wazee wakisema kwamba mtu akikoroma muite kwa jina ambalo silo lake. mfano kama anaitwa juma unaweza muita joseph kama akiitika basi hata koroma tena(imani za kijadi hizo) sijawahi jaribu

Kama babu wa Loliondo siyo?
 
Hizi shule za dot com ndio zinawapotosha hivi?

Shule za dot com sio, wewe unaona kuna shule ya dot com hapo? Yaani wewe kwa akili yako ukiolewa unakuwa mwili mmoja na mume wako??!! Kama mngekuwa mwili mmoja si mngekufa wote basi?? Au kama ndio hivyo basi hata mmoja akichit ingebidi mwingine ajue lakini wapi?? Wewe kama unaamini hivyo sio ishu ni kawaida tu, imani ziko nyingi lakini usije ukadhani kwa kuwa wewe unaamini basi ni lazima iwe hivyo kwa kila mtu.
 
Mtu hukoroma akilala vibaya na kushindwa kupumua ipasavyo dawa yake hakuna ila akianza kukoroma mpe vipepsi vya mbavu ili aamuke na kulala vizuri pili kama ni mlevi aache pombe na kama ni mnene apunguze mwili
ila niliwahi kusikia wazee wakisema kwamba mtu akikoroma muite kwa jina ambalo silo lake. mfano kama anaitwa juma unaweza muita joseph kama akiitika basi hata koroma tena(imani za kijadi hizo) sijawahi jaribu
 
Hii concept ya mwili mmoja mi sikubaliani nayo. Hata mkioana kila mtu anabaki na mwili wake na ndio maana mnaweza kuachana au mmoja kufa na mwingine kubaki.

haya toa concept yako tuone mkuu!

unajua dunia ya sasa imekaa kizinzi sana, ndio maana kila leo ndoa zavunjika tu!
 
Mtu hukoroma akilala vibaya na kushindwa kupumua ipasavyo dawa yake hakuna ila akianza kukoroma mpe vipepsi vya mbavu ili aamuke na kulala vizuri pili kama ni mlevi aache pombe na kama ni mnene apunguze mwili

halafu hapo ni mama yako ndio anakoroma sasa!

vijana hebu toeni ushauri ambao ni wa msingi,

sio kwa sababu tu una bando la mia ndo unaamua tu kuandia andika tu!

vijana nao wana haki ya kuwa na busara!
 
Mh jamani nilikua na boy anakoroma jaman upati ucngzi kbsa alafu kwa sauti hadi nje ! Haya mambo acheni tu
 
umesomeka mkuu.
Mtu hukoroma akilala vibaya na kushindwa kupumua ipasavyo dawa yake hakuna ila akianza kukoroma mpe vipepsi vya mbavu ili aamuke na kulala vizuri pili kama ni mlevi aache pombe na kama ni mnene apunguze mwili
 
Akianza kulala chukua ugoro weka puani mwake akikoroma tena us usiniite kwa jina langu
 
muelekeeze ofisini kwangu nitamshauri namna ya kufanya na atapata dawa ya usingizi
ila ajue kuwa aliapa kuwa atakuwa naye katika shida na raha kwanije kuona kudhia?
 
Inategemea amelalaje nikilalia mgongo hua nakoroma mshauri alale ubav au alalie tumbo
 
kasema inawezekana anakuwa amelala vibaya, so mpige kipepsi aamke ili alale vizuri (jamaa mkatili yule)
Hivi inakuwaje na mtoto mdogo nae anakoroma? Manake kuna mdau amesema kwamba uchovu na pombe vichangia, sasa hapa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom