Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
Mi kuna namba ya jamaa yangu mmoja naona kuna mtu wa huko amepewa.
 
Mimi hizi kesi sasa hivi naona zimepunguwa nilikuwa nautana nazo sana.
 
Halafu huwa hawaelewi hasa akisikia sauti ya kike,inaelekea huko usukumani kupata mwanamke ni kazi sana...Mtu mwenye akili timamu hawezi kung'ang'ania kuendelea na mtu ambaye ni dhahiri amekosea namba kwako au wewe umekosea kwake
 
Hata mm laini yangu ya voda wamempa mtu kutoka kigoma laini ilikuwa situmii
Pia nimeshapigiwa simu Mara nyingi na wasukuma kukosea
P
Juzi hapa na mimi imentokea tena namba ya mheshimiwa fulani hapa Tanzania baada ya miezi mingi ya kutoitumia kwa mawasiliano juzi napiga kapokea mdada wa Usukumani japokuwa alikuwa mstaarabu
 
😂😅Wasukuma na Waha wenyewe wakipata vocha kazi yao nikujitungia namba yoyote na kuanza kupiga cm... Kazi yao ni kusalimia tu hadi dakika ziishe ndio starehe yao...
😀😀😀😀we jamaa bwe.ge sana
 
My assumption is hao watu wanaokosea namba wengi wao hawajui kusoma vizuri au hawajui kabisa hivyo huwa wanajiandikia tu namba wanazotaka kuzipigia bila kujua ni namba sahihi au lah.
 
Nimetoka kuwaza Sasa hivi jinsi wanavyotukana usipojibu kile wanachotaka wao au ukiwauliza swali, hujakosea kuuliza. Hata Wakikumwaga povu ukweli utabaki kuwa ukweli. Labda niwe.muwazi NI ushamba

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji28]Wasukuma na Waha wenyewe wakipata vocha kazi yao nikujitungia namba yoyote na kuanza kupiga cm... Kazi yao ni kusalimia tu hadi dakika ziishe ndio starehe yao...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna kipindi niliwahi fanya kazi call center ya kampuni fulan hivi.. yaan haipiti robo saa unapokea simu ya Msukuma halafu hajui kapiga wap anabaki anauliza na kubung'aa tu, walikuwa wanatukera asee [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…