Bado hajaiva tu??Ndio naoka usijali vikiwa mtaona.View attachment 1160652
Angekuwa samaki au nyama mngenikamata...hawa viumbe wanenishinda mie.
Hongera kwa mapishi mazuri.
Nimefika mkwe[emoji39][emoji39]
Naomba upitisha kijicho nione ikiwa imevurugika[emoji1431][emoji39][emoji39][emoji39]
Safi sana Mkwe
Nimeona .. nimeona .. si mchezo..
๐๐๐ Wallahi!
Shukran kwa kuona.Nimeona .. nimeona .. si mchezo..
Unataka nikupikie?
Majani ya rosemaryMkuu samahan huyu rosemary ndo nani
Nitajaribu one day, athante.
[emoji39][emoji39][emoji39] Wallahi!
Yaani ..nimejiona nnavyompakua na kujinoma! Dah weekend nampika.. na ile pilipili ya appleUmejiramba mie mwenzio nshakula nimeshiba kitumbo mbwi ๐คฃ
Yaani ..nimejiona nnavyompakua na kujinoma! Dah weekend nampika.. na ile pilipili ya apple