Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Hayo mambo huku Kila mtu na bucha lake ...atayetaka kwenda Kwa waislamu sawa ...Ukienda Kwa wakristu sawa ...eti waligoma mpaka Kwa Mkuu wa Mkoa Kwa Nini wakristu wanachinja.... Akawaambia tu nyie chinjeni wenu na wao wachinje wao kila mteja ataenda anapoona panafaa ..Sasa shida Kwa mabucha ya waislamu inalala mmnoo hata siku mbili ..huku Kwa wakristu chaap Kwa haraka nyama inaisha.Hayo mambo ya sijui vibudu ni mapokeo tu yasiyo na mantiki. Kila mtu ruksa kuchinja mnyama wake. Kwanini mlazimishie mambo yenu ya dini kwa kila mtu?
Tunakula kuku hatuli vitabuNdivyo vitabu vinavyo tuelekeza
Wakipikwa huwa hawaivi?
Kuna ugonjwa wowote wanaosababishia binadamu wakichinjwa hivyo?
Umeshawahi kuona Japanese au Chinese ambao huanza na kuwanyonga halafu ndiyo wanawachinja? Mbona siha zao ni njema tu.
Yaani hamuwezi kua serious...yaani kweli mungu kaumba sayari trillions huko ili aweke Sheria kuku achinjwaje . Acheni uzwazwa bana Sasa inakuwa vituko.. wenzetu wako mbali sana kiuchumi na kitechnology...hizi dini hazijamfikisha mtu yoyote popote.. we hotelini umekula huyo kuku umekufa.. kinachobadilika kwa huyo kuku akichinjwa na mwanamke ni nini? Hizi ni tamaduni za watu wa sehemu Fulani kipindi Fulani na Katika Imani Fulani jamani.. heeh.. kuku!!Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Mkuu, kwani umewahi kutapika au kuumwa kwa kula kuku wa hotelini? Na ni wazi hujatembea. Na huko KFC nani anawachinjia, au mwenzetu huendi kuko? Kuna MCDonald kwa wale wanaotembelea nchi nyingibe, King Burger, Nandos etc.Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Hata mkeo ni kibudu ..alishaliwa....Wape faida vijana wajue kuna vibudu vingine zaidi ya kuku!
Ulishwe na kuvishwa kisa mwanamke kwani wewe ni nusu ya binadamuMwanamke wa Kiislam anatakiwa alishwe avishwe, Tnadeka kwa hayo. Kwanini nikachinje na wanaume wapo?
Ma shaa Allah, hata mchwa wanamlisja malkia.Ulishwe na kuvishwa kisa mwanamke kwani wewe ni nusu ya binadamu
Mbona wiki jana nilimsikia shekhe akisema hata waislam wanawake waruhusiwa ku binja?Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Labda wa ndoaniMa shaa Allah, hata mchwa wanamlisja malkia.
Mwanamke kwa sheria za Kiislam ni zaidi ya malkia. Alindwe, alishwe, avishwe, ahudumiwe mpaka aridhike. Hakuna ku compromise hapo.
Huo ndiyo Uislam kijana. Ukimpunguzia lolote katika hayo mwanamke ujuwe ana kigezo cha talaka hapo.
Kwenye Biblia hakuna Sehemu inayoidhinisha nani wa kuchinja,Mwanzo hadi ufunuo,Sisi tunaoamini Kwenye Haki za wanyama,hata kunguni ana haki ya kuishi!Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Hapana, huyo atakuwa siyo wa Kiislam au hafati mwongozo wa Kiislam.Labda wa ndoani
Nje na hpo ajihangaikie mwenywe.
Inaitwa kula Chaklaa!Kitu ambach dini imeweza kufanikiwa pakubwa ni ku control akili za watu.
Na kitu ambacho mwafrika amefanikiwa pakubwa ni kuwa mhanga wa dini.
ACHA USHAMBA
WAJANJA TUTAKULA CHOCHOTE KILE ATA KICHINJWE NA MALAYA WA BAR
Huyo ni sheikh ubwabwa!Mbona wiki jana nilimsikia shekhe akisema hata waislam wanawake waruhusiwa ku binja?
Je unaingiza imani kwenye kuchinja?
Kuchinja ni kumwaga damu kwa kutenganisha kichwa hivyo hakuna kibudu, kibudu ni mnyama kujifia bila kumwaga damu
Hakuna aliyeidhinishwa kuliwa?Kwenye Biblia hakuna Sehemu inayoidhinisha nani wa kuchinja,Mwanzo hadi ufunuo,Sisi tunaoamini Kwenye Haki za wanyama,hata kunguni ana haki ya kuishi!
Kitumoto umemsahauKula Bia
Kula Kuku......
Takbir