Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

Kuku wanaopikwa hotelini asilimia kubwa ni vibudu ambao huchinjwa na wanawake!

Hayo mambo ya sijui vibudu ni mapokeo tu yasiyo na mantiki. Kila mtu ruksa kuchinja mnyama wake. Kwanini mlazimishie mambo yenu ya dini kwa kila mtu?
Hayo mambo huku Kila mtu na bucha lake ...atayetaka kwenda Kwa waislamu sawa ...Ukienda Kwa wakristu sawa ...eti waligoma mpaka Kwa Mkuu wa Mkoa Kwa Nini wakristu wanachinja.... Akawaambia tu nyie chinjeni wenu na wao wachinje wao kila mteja ataenda anapoona panafaa ..Sasa shida Kwa mabucha ya waislamu inalala mmnoo hata siku mbili ..huku Kwa wakristu chaap Kwa haraka nyama inaisha.
 
Wakipikwa huwa hawaivi?
Kuna ugonjwa wowote wanaosababishia binadamu wakichinjwa hivyo?
Umeshawahi kuona Japanese au Chinese ambao huanza na kuwanyonga halafu ndiyo wanawachinja? Mbona siha zao ni njema tu.
1000012972.jpg
 
Waafrika tuna akili za ajabu sana.

Wenzetu wana mipango ya kuhamia sayari nyingine sisi bado tunajadili namna ya kuchinja kuku.
 
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.

Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Yaani hamuwezi kua serious...yaani kweli mungu kaumba sayari trillions huko ili aweke Sheria kuku achinjwaje . Acheni uzwazwa bana Sasa inakuwa vituko.. wenzetu wako mbali sana kiuchumi na kitechnology...hizi dini hazijamfikisha mtu yoyote popote.. we hotelini umekula huyo kuku umekufa.. kinachobadilika kwa huyo kuku akichinjwa na mwanamke ni nini? Hizi ni tamaduni za watu wa sehemu Fulani kipindi Fulani na Katika Imani Fulani jamani.. heeh.. kuku!!
 
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.
Mkuu, kwani umewahi kutapika au kuumwa kwa kula kuku wa hotelini? Na ni wazi hujatembea. Na huko KFC nani anawachinjia, au mwenzetu huendi kuko? Kuna MCDonald kwa wale wanaotembelea nchi nyingibe, King Burger, Nandos etc.

Sisi wakristo tuliambiwa ukienda mahali ukakuta nyama, kula tu acha kuuliza uliza maswali, hata kama ni Iringa au Masasi huko. Kwa mfano, tukiwa UD tulilishwa sana swala na nyati wa mikumi, na sikuona wenzako wakiuliza kama aliewapiga risasi alikuwa mwanamke au mwanaume, na kama swala au nyati alikuwa ameelekeza kichwa Mecca wakati akitwangwa risasi. Kama wewe na wenzeko mnaona kuna tatizo, acheni kula kuku au nyama nje ya nyumbani kwenu, tuache wengine tujipige, la sivyo jiungeni nasi kama wenzenu walivyofanya kuhusu kitimoto!
 
Mwanamke wa Kiislam anatakiwa alishwe avishwe, Tnadeka kwa hayo. Kwanini nikachinje na wanaume wapo?
Ulishwe na kuvishwa kisa mwanamke kwani wewe ni nusu ya binadamu
 
Ulishwe na kuvishwa kisa mwanamke kwani wewe ni nusu ya binadamu
Ma shaa Allah, hata mchwa wanamlisja malkia.

Mwanamke kwa sheria za Kiislam ni zaidi ya malkia. Alindwe, alishwe, avishwe, ahudumiwe mpaka aridhike. Hakuna ku compromise hapo.

Huo ndiyo Uislam kijana. Ukimpunguzia lolote katika hayo mwanamke ujuwe ana kigezo cha talaka hapo.
 
Asilimia kubwa ya kuku wa mahotelini wengi wao huchinjwa na wanawake aidha kunyongwa shingo au kutiwa kwenye maji moto wakiwa hai ambapo baadaye hukatwa vichwa au kushikwa mwili na kichwa Maria au Grace akachinja bila wasiwasi.

Maana kwa kuwa watu ni wabishi, fanyeni utafiti. Kwa wale wafia dini je, hii ni halali kuku kuchinjwa na wanawake? Ndivyo vitabu vinavyo tuelekeza?
Mbona wiki jana nilimsikia shekhe akisema hata waislam wanawake waruhusiwa ku binja?

Je unaingiza imani kwenye kuchinja?
Kuchinja ni kumwaga damu kwa kutenganisha kichwa hivyo hakuna kibudu, kibudu ni mnyama kujifia bila kumwaga damu
 
Labda wa ndoani
Nje na hpo ajihangaikie mwenywe.
 
Kwenye Biblia hakuna Sehemu inayoidhinisha nani wa kuchinja,Mwanzo hadi ufunuo,Sisi tunaoamini Kwenye Haki za wanyama,hata kunguni ana haki ya kuishi!
 
Labda wa ndoani
Nje na hpo ajihangaikie mwenywe.
Hapana, huyo atakuwa siyo wa Kiislam au hafati mwongozo wa Kiislam.

Mwanamke wa Kiislam kama hajaolewa ni jukumu la wazazi wake, kama hana wazazi wake, ni jukumu la kaka zake, wajomba na Ami zake, na kama hana wote hao, ni lazima atafutiwe mume Kisheria.

Uislam ni mfumo kamili wa maisha, labda usiufate kwa kukufuru kwako tu.
 
Kitu ambach dini imeweza kufanikiwa pakubwa ni ku control akili za watu.

Na kitu ambacho mwafrika amefanikiwa pakubwa ni kuwa mhanga wa dini.

ACHA USHAMBA

WAJANJA TUTAKULA CHOCHOTE KILE ATA KICHINJWE NA MALAYA WA BAR
Inaitwa kula Chaklaa!
 
Mbona wiki jana nilimsikia shekhe akisema hata waislam wanawake waruhusiwa ku binja?

Je unaingiza imani kwenye kuchinja?
Kuchinja ni kumwaga damu kwa kutenganisha kichwa hivyo hakuna kibudu, kibudu ni mnyama kujifia bila kumwaga damu
Huyo ni sheikh ubwabwa!
 
Back
Top Bottom