Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Hayo mambo huku Kila mtu na bucha lake ...atayetaka kwenda Kwa waislamu sawa ...Ukienda Kwa wakristu sawa ...eti waligoma mpaka Kwa Mkuu wa Mkoa Kwa Nini wakristu wanachinja.... Akawaambia tu nyie chinjeni wenu na wao wachinje wao kila mteja ataenda anapoona panafaa ..Sasa shida Kwa mabucha ya waislamu inalala mmnoo hata siku mbili ..huku Kwa wakristu chaap Kwa haraka nyama inaisha.Hayo mambo ya sijui vibudu ni mapokeo tu yasiyo na mantiki. Kila mtu ruksa kuchinja mnyama wake. Kwanini mlazimishie mambo yenu ya dini kwa kila mtu?