Kula kula ukiendekeza inakua kama bangi, hii kitu vimenipa uraibu mbaya mno, nina collection ya makopo yake ndani

Kitu cha buku mtaani kinauzwa elfu 8 kwenye supermarkets zaidi kitakuwaje maarufu?😂 Hivi unajua hio hela familia inakula mlo kamili kabisa huku uswazi kwetu.
Basi wanautani, ndo mana sijawai ona hii kitu tena
 
Ndo natoka kumaliza hapa nichukue nyingine,,.. Hii kitu siwezi kuacha☺️☺️
Tatizo huku porini kwetu wanatupiga sanaa aisee 8000/=😥
 

Attachments

  • 20240510_162053.jpg
    1.4 MB · Views: 4
mwanaume unakula pringles hee!!

weka na namba ya simu maana we n pisi kali
 
nikiyalaga hayo madude huwa naona Yana Radha mbaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…