Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
kumbe hadi Njombe zipo hizo PringlesMimi ni wa Njombe mkuu nmezaliwa na kukulia huku, Upanga hata sijawahi kufika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe hadi Njombe zipo hizo PringlesMimi ni wa Njombe mkuu nmezaliwa na kukulia huku, Upanga hata sijawahi kufika
Zipo sana ni hela yako tuu, mbona ni bidhaa ya kawaia mno kuwepo kwenye min markets na super markets mkuu??kumbe hadi Njombe zipo hizo Pringles
Aende zake...Dr Janabi is typing ...
usijaribu mkuu hizi za sasa hivi zina chembe chembe za mambo yaleeee ya rangi rangi acha mkuuu usijaribuZinapatikana wapi mkuu tukajaribu
Hha shukran aseusijaribu mkuu hizi za sasa hivi zina chembe chembe za mambo yaleeee ya rangi rangi acha mkuuu usijaribu
Zinatanua Moyo Na Kugandisha Damu Unapopata Majeraha Madogo MadogoDr Janabi is typing ...
Tangazo hili lipo kimkakati sana...Kwanza lipia tangazo. Kiukweli mimi ndo nimejua kuna hii kitu leo kupitia huu uzi. Ushuani mambo ni mengi sana.
Basi wanautani, ndo mana sijawai ona hii kitu tenaKitu cha buku mtaani kinauzwa elfu 8 kwenye supermarkets zaidi kitakuwaje maarufu?😂 Hivi unajua hio hela familia inakula mlo kamili kabisa huku uswazi kwetu.
mwanaume unakula pringles hee!!Hii kitu ina addction moja mbaya sana
unanunua kopo kubwa la elf 6 (kwengine hadi elf 8), unapanga ule kwa siku 3 lakini ukionja kipande tu nakuapia unaweza kufuta lote mda huo huo, ukionja ni ngumu sana kujizuia kuingiza mkono kuchota nyingine.
Pringles zipo za aina nyingi sana kwa ladha, binafsi iliyonibamba ni hot n spicy
View attachment 2986639
Haya madude hayana ladha kabisa bure tu😂 kuna siku nilibeba nikajutaI used to be a big fan, ila sasa hivi hata nikikaa nazo ndani sigusi.
Nimehamia zangu kwa Lays Classic.View attachment 2986677