Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

Mwaka jana nilikula matunda Kisha nikulala aisee😬😬😬 nilisonga ugali nusu bila mboga Kisha nikarudi kumalizia ndoto
 
Kujinyima kula kama tiba, jinyime mchana, kula jioni.
Alafu fanya mazoezi ya kukimbia angalau kilometa 5, kwa siku, mwili unahitaji chakula sana, mchana kuliko usiku.
 
Mkuu chips urojo yai na kuku za kisasa vidali vipi ulikua unakula?
 
Inawezekan mkuu,mim mwenyew nakula matunda nalala au nakunywa chai na bites nalala...na imefika mahali siwezi kula chakula kizito usiku mfano wali au ugali
 
Hhhhhhhh mkuu jaribu bhna iyo utaiweza
Mimi nimejiwekea ivi

Chai saa 4 au 5

Cha mchana saa 10

Usiku nikipta juice au tunda au ata nisipopata m kwangu fresh naingia bed

Apo siku nyingine as a Muslim unafunga like j3 na Alhamis
 
Sasa wewe unakula parachichi mawili ndo ukalale hiyo haiwezekani
 
Komaa mpaka siku ya 4 unakuwa poa tu, ila ndo utapungua mpk wakusahau niliifanya hii nilipungua kibongo bongo mwanamke kutokuwa na vinyama huvutii nimerudi kwenye mwili wangu
Mimi nilijaribu for 6 months or so sasa majuzi baada ya tumbo kuwa inajaa sana gesi nimeenda kupima wameniambia vidonda vya tumbo vinaninyemelea, yaani wamenichanganya kweli maana uzito ulipungua vizuri sana..
 
Mimi napenda sana kutembea tatizo madereva wetu na bodaboda ni shidaaa, wanakuvaa hivi hivi
 
Aiseeee, hiyo ni sawa na mdogo wangu, anaamka saa 9 usiku anagonga uporo wa wali then analala tena.
 
Aiseeee, hiyo ni sawa na mdogo wangu, anaamka saa 9 usiku anagonga uporo wa wali then analala tena.
Huyo ni Mimi mkuu sina ratiba ya kula, muda wowote twende Ila sili mafuta
 
Hizo diet ziendane na nature za kazi mtu anayofanya,mazingira na nishati anayotumia mwilini mwake.

Umegonga nyundo siku nzima unakula matunda night, usiku lazima uamke kuangalia wapi fundi alikosea kupaka rangi au kuweka ceiling board.
 
Ili ufanikiwe kupunguza mwili unatakiwa kujua

"KWA NINI NATAKA KUPUNGUZA MWILI"

tofauti na hapo utakua unajitesa tu mana u will be working on reducing ur body muscles na sio kureduce fats(adipose).
 
Dunia duara aisee,mm kila nikila vip sinenepi ,hata nile manyama miezi 20 kila siku siongezeki hata kila moja zaid ya kunenepa mashavu tu...
Kunenepa tunaweza kukunenepesha japo kiasi. Nyama hazinenepeshi mkuu
 
Mimi nilijaribu for 6 months or so sasa majuzi baada ya tumbo kuwa inajaa sana gesi nimeenda kupima wameniambia vidonda vya tumbo vinaninyemelea, yaani wamenichanganya kweli maana uzito ulipungua vizuri sana..
Kula matunda ushibe, matunda hayana tatizo kabisaa hata ukivimbewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…