🖕Beki tatu wangu hapa ni mchafu balaa nawaza sijui nimtimueje atleast aje pisi Kali niwe nachakata.
Pole sana mkuu, mimi mwanzo wife alileta Dumuzi nikamkataa on the spot😂! Nahitaji mtu presentable hata nikienda kwa family friends niwe confident kumtambulisha na aendane na watoto wangu kama dada yao.Beki tatu wangu hapa ni mchafu balaa nawaza sijui nimtimueje atleast aje pisi Kali niwe nachakata.
ChaiKuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema.
Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa.
Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro mmoja, walikuwa na maisha yao. Yeye ana biashara zake, mke pia NAYE kaajiriwa. Mara nyingi bro anatoka mapema au anarudi muda wowote.
Sasa ikatokea wakaleta beki mmoja binti mrembo, mpole, hana mambo mengi Kwa kumtazama YAANI ni kama ana nidhamu sana ila NDO hivyo.
Mimi sikuwa najua chochote mwanzoni wakati huo nasoma twisheni ya advance kule mchikichini, Ila huyu beki mwenyewe ndio alikuja kunidokeza kwa siri. Akanieleza jinsi mambo yalivyoanza anasema MKE WA bro alikuwa hampi bro mara NYINGI Yuko bize na akiwa off anachoka sana ni kulala TU hataki guswa, wakati mwingine wiki nzima au hata mbili hakuna ukaribu wowote..
Ndipo bro akaanza kumzoea beki polepole. Mwanzoni ni mazoea tu, baadaye akageuka MKE mdogo. Hata hela akaanza kumpa pembeni mshahara wake wa kawaida unapitia kwa wife, lakini yeye akawa anaongeza nyingine kwa siri.
Siku moja nilishuhudia tukio ambalo lilinifanya nianze kuelewa kila kitu. Nilikuwa nimerudi mapema, nikaingia chumbani kwangu. Chumba changu kilikuwa kinaangaliana na cha bro. Ghafla nikamuona bro anaingia room kwake, wakati huo beki alikuwa anamalizoa kufua.
Baada ya muda mfupi, beki akaingia humo humo chumbani lahaula nikashangaa SABABU HATA bro hakujua kama nimesharudi maana Huwa ananipigia simu kama nishatudi ila siku hiyo hakufanya Sasa ile room yangu ilikuwa inatazamana na yake Kwa angle flani kana kwamba nikilegeza mlango naona anaeingia humo.
Basi BAADA ya beki kuingia mo, hali likuwa tulivu sana, lakini ile hali tu ilinipa mashaka. Nikatoka kimya nikakaa sebuleni kama sijui chochote ili NISIKIE chochote SIKUFANIKIWA , walitumia muda mrefu kidogo.
Alipotoka beki, alikuwa na haraka sana, kijasho kinamtoka ni kama amesweti sana kanganga imetepeta SEHEMU zingine nafikiri alijifutia na joto la Daslam, Ile kunicheki sebuleni alishituka sana akaenda moja kwa moja washroom.
Hapo nikajua kuna kitu hakiko sawa MTU kaliwa. Usiku na Mimi nikaanza kumtext taratibu, Akawa anatoa ngumu basi nikamwambia Leo nimekuona umeingia na kitenge Kwa bro na YEYE alikuwemo na wakati inatoka mbona ulishituka sana dah nilimchokonoa mpaka akafunguka hayo niliyosema hapo hawali.
Sasa Leo nimeletewa beki Mzee nimeishiwa pozi nimeona niweke hapa yule tracko tracko hayupo tena.
Mchizi mwingine NAYE aliletewa beki Mzee.
Wanawake mna matatizo😀😀🙌🙌
USER=8978]Active[/USER] naombarudishe kichwa cha Uzi ni
Hii ni SABABU kwanini l wake zetu WANALETA beikitatu wazee.
Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.
Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema.
Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa.
Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro mmoja, walikuwa na maisha yao. Yeye ana biashara zake, mke pia NAYE kaajiriwa. Mara nyingi bro anatoka mapema au anarudi muda wowote.
Sasa ikatokea wakaleta beki mmoja binti mrembo, mpole, hana mambo mengi Kwa kumtazama YAANI ni kama ana nidhamu sana ila NDO hivyo.
Mimi sikuwa najua chochote mwanzoni wakati huo nasoma twisheni ya advance kule mchikichini, Ila huyu beki mwenyewe ndio alikuja kunidokeza kwa siri. Akanieleza jinsi mambo yalivyoanza anasema MKE WA bro alikuwa hampi bro mara NYINGI Yuko bize na akiwa off anachoka sana ni kulala TU hataki guswa, wakati mwingine wiki nzima au hata mbili hakuna ukaribu wowote..
Ndipo bro akaanza kumzoea beki polepole. Mwanzoni ni mazoea tu, baadaye akageuka MKE mdogo. Hata hela akaanza kumpa pembeni mshahara wake wa kawaida unapitia kwa wife, lakini yeye akawa anaongeza nyingine kwa siri.
Siku moja nilishuhudia tukio ambalo lilinifanya nianze kuelewa kila kitu. Nilikuwa nimerudi mapema, nikaingia chumbani kwangu. Chumba changu kilikuwa kinaangaliana na cha bro. Ghafla nikamuona bro anaingia room kwake, wakati huo beki alikuwa anamalizoa kufua.
Baada ya muda mfupi, beki akaingia humo humo chumbani lahaula nikashangaa SABABU HATA bro hakujua kama nimesharudi maana Huwa ananipigia simu kama nishatudi ila siku hiyo hakufanya Sasa ile room yangu ilikuwa inatazamana na yake Kwa angle flani kana kwamba nikilegeza mlango naona anaeingia humo.
Basi BAADA ya beki kuingia mo, hali likuwa tulivu sana, lakini ile hali tu ilinipa mashaka. Nikatoka kimya nikakaa sebuleni kama sijui chochote ili NISIKIE chochote SIKUFANIKIWA , walitumia muda mrefu kidogo.
Alipotoka beki, alikuwa na haraka sana, kijasho kinamtoka ni kama amesweti sana kanganga imetepeta SEHEMU zingine nafikiri alijifutia na joto la Daslam, Ile kunicheki sebuleni alishituka sana akaenda moja kwa moja washroom.
Hapo nikajua kuna kitu hakiko sawa MTU kaliwa. Usiku na Mimi nikaanza kumtext taratibu, Akawa anatoa ngumu basi nikamwambia Leo nimekuona umeingia na kitenge Kwa bro na YEYE alikuwemo na wakati inatoka mbona ulishituka sana dah nilimchokonoa mpaka akafunguka hayo niliyosema hapo hawali.
Sasa Leo nimeletewa beki Mzee nimeishiwa pozi nimeona niweke hapa yule tracko tracko hayupo tena.
Mchizi mwingine NAYE aliletewa beki Mzee.
Wanawake mna matatizo😀😀🙌🙌
USER=8978]Active[/USER] naombarudishe kichwa cha Uzi ni
Hii ni SABABU kwanini l wake zetu WANALETA beikitatu wazee.
Embu sukuma namba yake PM niwe nakusaidia kumkumbusha afanye kazi kwa bidii.Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂
Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂
Duuh! Mkuu hivyo we ndo una jukumu la kuleta dada home kwako?Naunga mkono hoja kwa 100%...Huyu unaemuona hapa sio mama watoto bali ni beki 3 wangu mtu pekee ambaye ana dhamana ya kuangalia vijana wangu.View attachment 3560241Huyu nimemsajili kimkakati ili kumkumbusha bi.mkubwa juu ya majukumu yake na endapo akizingua basi ajue tu atalia na kusaga meno.😂