Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 751
- 1,315
Huu mnyukano ni kisanga
Unakubali hayo yatatokea kweli mkuu 🤣 🤣Mleta mada kumbuka watenda dhambi kamwe hawatoenda mbinguni.
Inasemekana siku ya kiama hesabu zitafanywa yeah atakuja kuchukua watu wake walio wema bila hata chembe ya dhambi na kuenda nao mbinguni kwa Baba
Kisha watenda dhambi watachukuliwa na shetani na kwenda kuchomwa moto wa milele huko jehanamu
Pia swali liwe "Kwanini Mungu mwenye Upendo na uwezo wote ameruhusu mabaya yatokee kwenye Dunia ambayo ameiumba yeye?Napinga hoja, Kama kuna uwezekano wa kubadili maamuzi basi swali liwe ni kwanini watu wanatenda dhambi? Kisha hiyo sababu inayoifanya dhambi iwepo ndo iondolewe halafu tusamehewe na kusamehe.
Mfano: Nyege zikiondolewa dhambi ngapi zitajifia? Wanaojichua, wazinzi, wafiraji woote wanakuwa wapyaaaaaa.
Je ikiondolewa njaa? tamaa? zitaondoka na dhambi ngapi?
Kuna mambo ukiyafuta kwenye mwili wa binadamu, unafuta dhambi zinazotengenezwa na hayo mambo.
Hizo ni Hadithi za Juma na UlediPia swali liwe "Kwanini Mungu mwenye Upendo na uwezo wote ameruhusu mabaya yatokee kwenye Dunia ambayo ameiumba yeye?
sijaelewa hapa kwamba shetani atawachukua wenye dhambi na kwenda kuwachoma moto?Mleta mada kumbuka watenda dhambi kamwe hawatoenda mbinguni.
Inasemekana siku ya kiama hesabu zitafanywa yeah atakuja kuchukua watu wake walio wema bila hata chembe ya dhambi na kuenda nao mbinguni kwa Baba
Kisha watenda dhambi watachukuliwa na shetani na kwenda kuchomwa moto wa milele huko jehanamu
Boss, Imeandikwa tumeumbwa kwa mfano wake, meaning mambo mengi tunayoyafanya huku duniani somehow yanatokana na kufanana nae. Tuassume MUNGU si dictator, hukumu ni za haki,Pia swali liwe "Kwanini Mungu mwenye Upendo na uwezo wote ameruhusu mabaya yatokee kwenye Dunia ambayo ameiumba yeye?
Yani Mungu anaejua kesho yangu kabla sijazaliwa atanisimamisha nihojiwe kuwa nilifanya makosa kadha wa kadha nikubali au laaah 😂😂😂Boss, Imeandikwa tumeumbwa kwa mfano wake, meaning mambo mengi tunayoyafanya huku duniani somehow yanatokana na kufanana nae. Tuassume MUNGU si dictator, hukumu ni za haki,
Kama ni kweli basi inawezekana siku ya hukumu kama tunavyofanya kwenye mahakama zetu basi:
1. utasomewa mashtaka,
2.utaelezwa kwanini hilo ni kosa,
3.utapewa nafasi ya utetezi, huenda hata kukawa na mawakili malaika na mashetani.
halafu kabla hujapigwa kiberiti utauliza haya maswali.
Unakaza fuvu wakati ukiulizwa how did you come into existence utashindwa kujibu."Sio hadithi mkuu.Mungu,paradiso, shetani na jehanamu vyote vipi.
Na Siku moja kiama kitatokea na huo ndo utakuwa mwisho wa Dunia"
Hivi unakumbuka kweli ulicho ni reply? Kama sio Hadithi tu thibitisha kuwa sio Hadithi , Sitaki blabla tu.
Mimi nimetoka Kwa baba na mama!Unakaza fuvu wakati ukiulizwa how did you come into existence utashindwa kujibu.
God is the cause of causes, he's the unmoved mover,he even exists outside the air we breath
Kama huamini uwepo wa Mungu hebu niambie ulipatikanaje Duniani bila ya kuwa na source
Please answer me
freewill umeikataa?Pia swali liwe "Kwanini Mungu mwenye Upendo na uwezo wote ameruhusu mabaya yatokee kwenye Dunia ambayo ameiumba yeye?
mkuu kwa aina ya maswali ambayo huwa unauliza, nilidhani umeshaachana na imani muda mrefu sana 😁Tupo mkuu tumejaa tele
Vitu vingine vyote vina vyanzo isipokuwa Mungu tuMimi nimetoka Kwa baba na mama!
Lakini mkuu lazima Kila kitu kiwe na chanzo?
Kama lazima Kila kitu kiwe na chanzo Mungu chanzo chake ni nani?
Kama Hana chanzo maana yake siyo Kila kitu kina chanzo.
Nilizaliwa, unauliza maswali ya darasa la kwanza.Unakaza fuvu wakati ukiulizwa how did you come into existence utashindwa kujibu.
God is the cause of causes, he's the unmoved mover,he even exists outside the air we breath
Kama huamini uwepo wa Mungu hebu niambie ulipatikanaje Duniani bila ya kuwa na source
Please answer me
Stop taking things out of context,nilitaka unieleze source ya binadamu wa kwanza kbsa DunianiNilizaliwa, unauliza maswali ya darasa la kwanza.
Unmoved mover ni falsafa ya aristote haujathibitisha kuwa jehanamu na mbinguni kupo.
Hoja zako zimejimaliza zenyewe tu .
Kwa nini una amini kuumbwa lazima kuwepo?Stop taking things out of context,nilitaka unieleze source ya binadamu wa kwanza kbsa Duniani
Niambie alitokea wapi akajikuta Duniani kama hakuumbwa
Ni kweli ila mwisho wa siku mleta mada kapendekeza sie wenye dhambi tuingie ila Kwa mlango wa kuwa vijakazi..!! Ikumbukwe watakula na kunywa huko..je nani atawahudumia??Mleta mada kumbuka watenda dhambi kamwe hawatoenda mbinguni.
Inasemekana siku ya kiama hesabu zitafanywa yeah atakuja kuchukua watu wake walio wema bila hata chembe ya dhambi na kuenda nao mbinguni kwa Baba
Kisha watenda dhambi watachukuliwa na shetani na kwenda kuchomwa moto wa milele huko jehanamu
YYeah..kama yeye katuumba..basi aviondoe alivyotuumba navyo...Napinga hoja, Kama kuna uwezekano wa kubadili maamuzi basi swali liwe ni kwanini watu wanatenda dhambi? Kisha hiyo sababu inayoifanya dhambi iwepo ndo iondolewe halafu tusamehewe na kusamehe.
Mfano: Nyege zikiondolewa dhambi ngapi zitajifia? Wanaojichua, wazinzi, wafiraji woote wanakuwa wapyaaaaaa.
Je ikiondolewa njaa? tamaa? zitaondoka na dhambi ngapi?
Kuna mambo ukiyafuta kwenye mwili wa binadamu, unafuta dhambi zinazotengenezwa na hayo mambo.
Hhhhm kumbe siyo Kila kitu kina chanzo 🤣Vitu vingine vyote vina vyanzo isipokuwa Mungu tu