Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

Mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwabudu siku zote, Lakini akashindwa kufanya hivyo, Badala yake akaumba binadamu wenye uwezo wa kutenda mabaya na dhambi ili aje awachome moto. Mungu huyo ni Katili, Mpumbavu na Mwendawazimu.

Huyo Mungu anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hajielewi kabisa.
Mkuu chai ulikunywa lakini?
 
Sio lazima nikudhibitishie kwa sababu
Mkuu watu bilioni ngapi sijui tunaenda kujazana mbinguni kufanya nini na nasikia hata Mungu mwenyewe kamwe hatuwezi kumuona hata tukiwa huko mbinguni
Sasa kama ndo hivyo yanini tuwe na matumaini kuwa tunaenda mbinguni kwa Mungu?
 
Mungu amekupa madhaifu kibao unateseka hapa duniani kwa muda mfupi sana
ila ukikata moto
anakuchoma moto milele?

Yaani badala afanye tuishi duniani milele yeye anatupiga kiberiti milele na milele amina!

Mungu gani mkatili hivyo?!
 
Story za Mungu na Jehanam zinanifanya nijiulize hivi Mungu busara zake ni ndogo kuliko za wazazi wanadamu? Maana kila mwanadamu azaapo mwana upambana kumkinga mwanawe na vishawishi vya dunia ili hasipotee lakini Mungu kila uchwao anapambana kumwekea mitego mipya mja wake ili anaswe na Shetani!!
Sijaona mzazi akimlelea mtoto wake bar/disco ati kwamba anamjaribu kuona kama utashinda vishawishi .
 
Napinga hoja, Kama kuna uwezekano wa kubadili maamuzi basi swali liwe ni kwanini watu wanatenda dhambi? Kisha hiyo sababu inayoifanya dhambi iwepo ndo iondolewe halafu tusamehewe na kusamehe.

Mfano: Nyege zikiondolewa dhambi ngapi zitajifia? Wanaojichua, wazinzi, wafiraji woote wanakuwa wapyaaaaaa.

Je ikiondolewa njaa? tamaa? zitaondoka na dhambi ngapi?

Kuna mambo ukiyafuta kwenye mwili wa binadamu, unafuta dhambi zinazotengenezwa na hayo mambo.
Nakubaliana nawewe. Lakini Bado option ya mwisho kabisa atufanye kuwa watumwa kama hayo yatashindikana
 
Kwa nini una amini kuumbwa lazima kuwepo?
Mungu pekee yake ndo sio kiumbe, ila vingine vyote viliumbwa na yeye ndo muumba wa viumbe vyote Duniani,kwa sababu visingeweza ku- exist without source,na Mungu mwenyewe ndio source
 
Mleta mada kumbuka watenda dhambi kamwe hawatoenda mbinguni.
Inasemekana siku ya kiama hesabu zitafanywa yeah atakuja kuchukua watu wake walio wema bila hata chembe ya dhambi na kuenda nao mbinguni kwa Baba

Kisha watenda dhambi watachukuliwa na shetani na kwenda kuchomwa moto wa milele huko jehanamu
Ina maana Mungu atatukabidhisha kwa shetani sisi wazinzi? ina maana wana ushirika?
 
Kwanza Mungu hawezi kukubali kwasababu mtawaambukiza watakatifu wake dhambi zenu
Tunaambiwa Shetani alikuwa mbinguni hapo kabla, alikuwa mtakatifu na mbinguni hakuuwa na uovu.
Nani aliambukiza uovu ikiwa wote walikuwa watakatifu?

Kama kweli mbingu ipo na wataenda watakatifu, baada ya muda huko utaanza uasi Tena
 
Mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwabudu siku zote, Lakini akashindwa kufanya hivyo, Badala yake akaumba binadamu wenye uwezo wa kutenda mabaya na dhambi ili aje awachome moto. Mungu huyo ni Katili, Mpumbavu na Mwendawazimu.

Huyo Mungu anastahili KUFURUSHWA huko alipo maana hajielewi kabisa.
Nimependa 📌💯
 
Mungu amekupa madhaifu kibao unateseka hapa duniani kwa muda mfupi sana
ila ukikata moto
anakuchoma moto milele?

Yaani badala afanye tuishi duniani milele yeye anatupiga kiberiti milele na milele amina!

Mungu gani mkatili hivyo?!
The cruelty ya mambo ya dini na kukosekana kwa logic behind imani kulinifanya niache kabisa kuamini.

Yani inakuwaje ukawa Mungu unayehubiri upendo na msamaha ila utawachoma hao unaowaita watoto wako uliowaumba kwenye moto wa milele (siyo hata uchomwe ufe, hapana, mungu wako anataka uteseke ukiteketea milele bila mwisho)

Nonsense 🚮🚮🚮
 
Vitu vingine vyote vina vyanzo isipokuwa Mungu tu
Hapa umefanya logical fallacy inaitwa special pleading.

Unafosi vitu vingine viwe na chanzo halafu unataka Mungu asiwe na chanzo.

Special Pleading Fallacy

Special Pleading is a fallacy in which a person applies standards, principles, rules, etc. to an opposing position whilst expecting their own position to be exempt from the same rules without adequate justification for the exemption providing.
 
Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso.

Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele?

Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake?

Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii pelekeni mawazo yetu haya aambiwe afikirie mara2 zaidi.

Adhabu ya moto Haina manufaa wala faida yoyote kwake.

Mwisho
Ongea vizuri na adriz the mbususu ...yeye anakuambia huko peponi Ana kiwanja kabisa na wake na nyumba kama Mia 200 hivi na shamba la ndizi mbivu ...hivyo kwenda peponi yeye nikama kurudi home tu 😁😁😁
 
Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso.

Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele?

Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake?

Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii pelekeni mawazo yetu haya aambiwe afikirie mara2 zaidi.

Adhabu ya moto Haina manufaa wala faida yoyote kwake.

Mwisho
Mbona duniani tuna chomana moto kwa mabomu na kuchoma wahalifu kama wezi na majambazi ....
 
Back
Top Bottom