Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Huyo Mungu kwa nini aliruhusu uwepo wa Shetani?Sisi wenyewe ndo tumejikabidhi kwa shetani pindi tulipoanza kutenda dhambi.
Mungu alishatupa amri kumi ambazo zinatupa muongozo wa kutuweka katika njia iliyo sahihi.
Sasa tukifanya kinyume na amri za Mungu kosa lake ni lipi?
Je Mungu HAKUJUA kwamba Shetani atakuja kuwepo, amdhibiti na kumzuia mapema asiwepo?
Au huyo Mungu ameridhika na alidhamiria kabisa Shetani awepo duniani?
Huyo Mungu anashindwa nini, kumwangamiza Shetani?
Au ana enjoy uwepo wake?