Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

Unakaza fuvu wakati ukiulizwa how did you come into existence utashindwa kujibu.

God is the cause of causes, he's the unmoved mover,he even exists outside the air we breath

Kama huamini uwepo wa Mungu hebu niambie ulipatikanaje Duniani bila ya kuwa na source
Please answer me
Hapa umefanya logical fallacy inaitwa Divine fallacy.

Kwa vile hujui ni namna gani dunia ilianza, unafosi kwamba Mungu ndio chanzo cha dunia.

Ukiulizwa chanzo cha huyo Mungu ni nini? Hujui. Unafosi tu, kusema Mungu hana chanzo.

The divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical error where someone assumes a phenomenon must be caused by a supernatural or divine power simply because they cannot personally imagine or understand how it could happen naturally.

It is a form of argument from ignorance where a lack of understanding is treated as proof of a supernatural explanation.

The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
 
Mimi sitakulazimisha uamini uwepo wa Mungu bro
Wewe endelea tu kuwa atheist
Huyo Mungu akiaminiwa yupo, anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoaminiwa yupo, anapungukiwa nini?

Je huyo Mungu yuko so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?

Huyo Mungu kama alitaka kuaminiwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mwamini siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
🤣 Kwamba sisi tumeumbwa ila aliyetuumba kaumbwa na nani wanasema hajaumbwa aetokea tikea tu from nowhere 🤣
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Mungu huyo hawezi kuwepo tu, from nowhere pasipo kuumbwa.

Na hivyo, Kutakuwa na msururu mrefu wa waumbaji wengi usio na mwisho.

PASIWEPO kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu, bila muumbaji.

Na kama si kila kitu kilichopo kiliumbwa, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things havikuumbwa.
 
Hebu wewe tuelezee chanzo cha binadamu wa kwanza kbsa Duniani kabla ya kuzaliana
 
Mleta mada kumbuka watenda dhambi kamwe hawatoenda mbinguni.
Inasemekana siku ya kiama hesabu zitafanywa yeah atakuja kuchukua watu wake walio wema bila hata chembe ya dhambi na kuenda nao mbinguni kwa Baba

Kisha watenda dhambi watachukuliwa na shetani na kwenda kuchomwa moto wa milele huko jehanamu
Ni nani asie na chembe ya dhambi...!!?

Kule kuna mizani dhambi na mazuri yote yatapimwa
 
Huyo Mungu akiaminiwa yupo, anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoaminiwa yupo, anapungukiwa nini?

Je huyo Mungu yuko so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?

Huyo Mungu kama alitaka kuaminiwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mwamini siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Mungu hahitaji faida yoyote kutoka kwetu Sisi viumbe vyake.
Sisi ndo tunafaidika kwa sababu yeye ndo alisababu uwepo wetu hapa Duniani.
Kwa hiyo tunahitaji kumuabudu na kumrudishia shukrani

Mungu hajatulazimisha Sisi binadamu kuamini uwepo wake bali alitupatia free will tuchague Kati ya kumuanini kutokumuamini,na ndo maana wewe huna imani kwake

Mungu aliimba binadamu wema kabisa na waliishi miaka mingi Sana kabla ya kumuasi.
Pia kumbuka " ubaya" sio permanent mtu anaweza kubadilika na kuwa mwema & vice versa
 
Ni nani asie na chembe ya dhambi...!!?

Kule kuna mizani dhambi na mazuri yote yatapimwa
Na kila kitu kifanyika hapa hapa Duniani,hakuna mtenda dhambi hata mmoja atakayeingia mbinguni

No single sin shall be uplifted from the ground.
Only the righteous will enter heaven
 
Bila kuzaliana hakuna binadamu.

Hakuna binadamu yoyote aliyetokea bila kuzaliwa.

Chanzo cha kila binadamu ni wazazi wake.
Naongelea watu wawili wa kwanza kbsa( mwanaume na mwanamke) walitoka wapi ndo wakaanza kuzaliana
Where did they come from?
 
Naongelea watu wawili wa kwanza kbsa( mwanaume na mwanamke) walitoka wapi ndo wakaanza kuzaliana
Where did they come from?
Kwanini unalazimisha kuwa na mstari ulionyooka na sio cycle?
 
Ina maana Mungu atatukabidhisha kwa shetani sisi wazinzi? ina maana wana ushirika?
Sisi wenyewe ndo tumejikabidhi kwa shetani pindi tulipoanza kutenda dhambi.
Mungu alishatupa amri kumi ambazo zinatupa muongozo wa kutuweka katika njia iliyo sahihi.
Sasa tukifanya kinyume na amri za Mungu kosa lake ni lipi?
 
Mungu hahitaji faida yoyote kutoka kwetu Sisi viumbe vyake.
Sisi ndo tunafaidika kwa sababu yeye ndo alisababu uwepo wetu hapa Duniani.
Kwa hiyo tunahitaji kumuabudu na kumrudishia shukrani
Hakuna Mungu aliye sababisha uwepo wetu hapa duniani.

Uwepo wetu hapa duniani, umetokana na sisi wenyewe binadamu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna Mungu.

Hata uwepo wako wewe hapa duniani ulitokana na MAMA yako kukuzaa.

Sio Mungu kukuumba.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Mungu hajatulazimisha Sisi binadamu kuamini uwepo wake bali alitupatia free will tuchague Kati ya kumuanini kutokumuamini,na ndo maana wewe huna imani kwake
Kama Mungu alitupa "free will" ya kuchagua tumuamini au tusi muamini. Kwa nini sasa anakuja kuwa adhibu wasio mwamini?

Wakati anajua kabisa, aliweka free will ya kutoaminiwa. Sasa adhabu ya nini?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Mungu aliimba binadamu wema kabisa na waliishi miaka mingi Sana kabla ya kumuasi.
Kama Mungu aliumba binadamu wema, Huo uasi uliumbwa na nani?

Je Mungu HAKUJUA kwamba uasi utakuja kuingia kwa binadamu, audhibiti na kuuzuia mapema?
Pia kumbuka " ubaya" sio permanent mtu anaweza kubadilika na kuwa mwema & vice versa
Kama Mungu aliumba binadamu wema tu, Binadamu wangebaki wema tu, bila kubadilika na kuwa wabaya.

Lakini kama binadamu anaweza kubadilika na kuwa muovu, Huwezi kusema kwamba Mungu aliumba binadamu wema.

Hapo kutakuwa na logical contradictions.
 
Hakuna Mungu aliye sababisha uwepo wetu hapa duniani.

Uwepo wetu hapa duniani, umetokana na sisi wenyewe binadamu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna Mungu.

Hata uwepo wako wewe hapa duniani ulitokana na MAMA yako kukuzaa.

Sio Mungu kukuumba.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Kama Mungu alitupa "free will" ya kuchagua tumuamini au tusi muamini. Kwa nini sasa anakuja kuwa adhibu wasio mwamini?

Wakati anajua kabisa, aliweka free will ya kutoaminiwa. Sasa adhabu ya nini?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?

Kama Mungu aliumba binadamu wema, Huo uasi uliumbwa na nani?

Je Mungu HAKUJUA kwamba uasi utakuja kuingia kwa binadamu, audhibiti na kuuzuia mapema?

Kama Mungu aliumba binadamu wema tu, Binadamu wangebaki wema tu, bila kubadilika na kuwa wabaya.

Lakini kama binadamu anaweza kubadilika na kuwa muovu, Huwezi kusema kwamba Mungu aliumba binadamu wema.

Hapo kutakuwa na logical contradictions.
Huyu anahubiri tu , hana hoja yenye mashiko
 
Kwanini unalazimisha kuwa na mstari ulionyooka na sio cycle?
Wewe unataka uambiwe chanzo cha Mungu ila ukiulizwa kuhusu vyanzo vya viumbe hasa binadamu hutaki kusema unazunguka zunguka na vijimaneno visivyo na mashiko

Nataka ushirikiane na mwenzako @Infoprenuer mnielezee chanzo cha viumbe vyote Duniani kama mnaamini havikuumbwa.
Nasubiri mrejesho
 
Back
Top Bottom