Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Kumbe wapo ambao ulinzi wao ni mdogo kama huyo anayepigwa vibao.Hakuna Rais asiye na ulinzi duniani au unataka apigwe vibao kama Emmanuel Macron
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wapo ambao ulinzi wao ni mdogo kama huyo anayepigwa vibao.Hakuna Rais asiye na ulinzi duniani au unataka apigwe vibao kama Emmanuel Macron
Per Diem hizo mkuuAmbulance mbili kwenye msafara mmoja zote hizo za nini mkuu?
Hizo ni benz kimeo ni mda wowote tu😂 bora ingekuwa cruiser mkongeAmbulance mbili kwenye msafara mmoja zote hizo za nini mkuu?
Ulinzi kama huu haukumsaidia kitu dikteta Magufuli saa ilipotumia na hautasaidia huyu dikteta mpyaView attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
WAtangaze matokeo ya kusitisha badala ya kupanga kusitisha.Hivi, tozo zilisitishwa kwani?
HAikustahili kutamkwa, kwa Fikra yangu kiduChu. Kwa sababu inatengeneza hisia fake kqa wachambuzi wa kauli.Kumbuka siku ana waapisha wale majaji na wateule wengine,alisema anapotengua watu,sio anawatengua sababu ya kabila lao
The vipView attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Kizazi cha kutamani kutawaliwa na mfumo wa udikteta kinaishia hiki.JK bahati yake alitawala kabla ya Magufuli...Magufuli kafa ila utawala wake na namna ya uongozi ndio utakaotumika kama standard za Urais Tanzania tena vizazi kwa vizazi,kwa watu wa mjini na vijiini ndani na nje ya Tanzania,wakubwa kwa watoto.
Na wewe ni wale wale tu,nkikwambia nitajie list ya watu walioumizwa utanambia azori,ben sanane,lisu.Kizazi cha kutamani kutawaliwa na mfumo wa udikteta kinaishia hiki.
Kuongoza nchi sio kuongoza familia.
Huwezi ukaongoza nchi kwa kuiga Rwanda utapasuka msamba.
Nchi yetu Ina maagano inapendwa na Mungu ushahidi upo yeyeto atakayechezea watz ni lazima asambaratike case study sokoine na magufuli.Kataa ukubali akija mwingine kwa style hio ya kuumiza watu ni lzm asambaratike.
Haya ni maagano.
Huwezi ukaumiza watz Mungu akuache.
Watu Warefu bongo wapo wengi tu.Kuna siku nimekutana na kundi la Askari Magereza wapo mitaa ya Ukonga nadhani ni kikosi Maalum,jamaa ni Warefu hatariiiiiiPia kuna wale wenye mabunduki ya kivita warefu pua zao zimechongoka kama wanyarwanda, kuishi kwangu Tanzania sijawahi kuona watu warefu kama wale, je ni wa vitego pia ama ni kutoka nchi za jirani? Maana hata huku mtaani hawaonekani kabisa wale watu warefu wenye mabunduki ya kivita
Mh! Kwani per diem siyo posho?
Leo wakati unatoka nyumbani fungua na ondoa tairi tatu za vitz yako ili uende kazini kwa gharama nafuuView attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Nilikua najua una akili Japo kidogo kumbe ziro......Kaskazini ilikua ngome ya CDM mda mrefu kabla shujaa hajatake over.... Ngome ambayo Gaidi alikua anaishikilia......unataka ulinzi wa kaskazini ufanane na wa wasukuma kule CHATO Mr 0?View attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Hakuna picha mpya mama ni Rais na Sukuma Gang wapo hawamtakii memaView attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
Hahaha sawa chura wa altareNilikua najua una akili Japo kidogo kumbe ziro......Kaskazini ilikua ngome ya CDM mda mrefu kabla shujaa hajatake over.... Ngome ambayo Gaidi alikua anaishikilia......unataka ulinzi wa kaskazini ufanane na wa wasukuma kule CHATO Mr 0?