Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Ulinzi kama huu haukumsaidia kitu dikteta Magufuli saa ilipotumia na hautasaidia huyu dikteta mpya
 
Kumbuka siku ana waapisha wale majaji na wateule wengine,alisema anapotengua watu,sio anawatengua sababu ya kabila lao
HAikustahili kutamkwa, kwa Fikra yangu kiduChu. Kwa sababu inatengeneza hisia fake kqa wachambuzi wa kauli.
 
The vip
 
JK bahati yake alitawala kabla ya Magufuli...Magufuli kafa ila utawala wake na namna ya uongozi ndio utakaotumika kama standard za Urais Tanzania tena vizazi kwa vizazi,kwa watu wa mjini na vijiini ndani na nje ya Tanzania,wakubwa kwa watoto.
Kizazi cha kutamani kutawaliwa na mfumo wa udikteta kinaishia hiki.
Kuongoza nchi sio kuongoza familia.
Huwezi ukaongoza nchi kwa kuiga Rwanda utapasuka msamba.
Nchi yetu Ina maagano inapendwa na Mungu ushahidi upo yeyeto atakayechezea watz ni lazima asambaratike case study sokoine na magufuli.Kataa ukubali akija mwingine kwa style hio ya kuumiza watu ni lzm asambaratike.
Haya ni maagano.
Huwezi ukaumiza watz Mungu akuache.
 
Labda anajihami na hasira za Wananchi wa Arusha baada ya Kipenzi chao Sabaya kuhukumiwa miaka 30 Jela..
 
Na wewe ni wale wale tu,nkikwambia nitajie list ya watu walioumizwa utanambia azori,ben sanane,lisu.
 
Watu Warefu bongo wapo wengi tu.Kuna siku nimekutana na kundi la Askari Magereza wapo mitaa ya Ukonga nadhani ni kikosi Maalum,jamaa ni Warefu hatariiiiii
 
Ndio utofaut upo mkuu , posho hulipwa kutokan na majukumu yako uliyopew kila siku na atakama yatakuw hayapo ila perday nikulpwa baada ya kutoka nje ya eneo lako la kaz (kaz maalumu) au mafunzo

Nazn utakuw umeelew kdogo
Mh! Kwani per diem siyo posho?
 
Kimsingi kila raia mwema anapaswa amlinde Rais dhidi ya maadui.
sisi sote tunao wajibu wa kumlinda Rais wetu kwa sala na dua.
 
Leo wakati unatoka nyumbani fungua na ondoa tairi tatu za vitz yako ili uende kazini kwa gharama nafuu
 
Nilikua najua una akili Japo kidogo kumbe ziro......Kaskazini ilikua ngome ya CDM mda mrefu kabla shujaa hajatake over.... Ngome ambayo Gaidi alikua anaishikilia......unataka ulinzi wa kaskazini ufanane na wa wasukuma kule CHATO Mr 0?
 
Hakuna picha mpya mama ni Rais na Sukuma Gang wapo hawamtakii mema
 
Nilikua najua una akili Japo kidogo kumbe ziro......Kaskazini ilikua ngome ya CDM mda mrefu kabla shujaa hajatake over.... Ngome ambayo Gaidi alikua anaishikilia......unataka ulinzi wa kaskazini ufanane na wa wasukuma kule CHATO Mr 0?
Hahaha sawa chura wa altare
 
this is a trip to becoming unpopular,

Mtaani hali ya uchumi ni mbaya, wananchi hawana fedha.

Kodi zimekuwa nyingi.

Ulinzi lazima uwe mkali.

Sera za awamu hii ni za kulinda mabeberu na kuwakandamiza wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…