jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hakuna watanzania warefu??wewe jamaa kuishi kwako huko milima ya urugulu usidhani ndio umeimaliza tz nzima...nenda kanda ya ziwa ukakutane na milingoti ya watu.Vipi wale askari warefu wenye bunduki ni watanzania kweli? Maana hakuna watanzania warefu kama wale
007 series on the go!Same Script Different Cast
Mungu anakuona we jamaa😂😂😂😂😂😂😂😂Hahaha sawa chura wa altare
Hujui kuna mishahara na posho??Hili swali linawahusu TISS, na kwa bahati mbaya hawawezi kukujibu.
Lakini mkuu hawq walinzi wapo tu hata wqsipomlonda rais wanalipwa, je wakimlinda wewe unakereka nini?
Hoji mambo ya maana achana na huu ushuzi.
YesSame Script Different Cast
Mkuu, misafara ya viongozi siku zote ina hawa watu, huwa wengine hatuwatambui sababu wako kwa nguo za kiraia, so posho huwa zinaliwa tu.Hujui kuna mishahara na posho??
Umemmiss mmeo eeMbowe
Lands nikueleweshe... Wale watu wa usalama unaoona kwenye gwanda na wasio na gwanda kwenye msafara ni mbali na wale walio au wanafanya uchunguxi wa kiusalama kabla hivyo idadi inavyokua kubwa kimtazamo pia hata kimfumo huongezeka... Tunachosema mbona kuna utofauti mkubwa na zamani japo mambo hubadilika lakini mbona kwa ukubwa huu??Mkuu, misafara ya viongozi siku zote ina hawa watu, huwa wengine hatuwatambui sababu wako kwa nguo za kiraia, so posho huwa zinaliwa tu.
Pili jinsi posho zinavyotolewa zinachangamsha mzunguko wa pesa mtaani pia
Yes kumuombea ni muhimu. Anashika dola.Hafurashi kila mtu. Wezi wanataka kupiga 1.3 trillion. Asipojipanga watamzinguaView attachment 1977510Wale walioko Arusha na viunga vyake leo tumeshuhudia/kuona Mh. Raisi mama Samia Suluhu Hassan kaongezewa ulinzi mara dufu, tofouti na tulivyozoea na msafara wake umekuwa na ulinzi mkali na idadi kubwa ya askari na usalama wa taifa kitengo cha ulinzi.
Pia msafara wake una magari zaidi ya 70 kutoka 20 ya awali kama tulivyokwisha zoea, msafara huu umeambatana na helikopta mbili kama tulivyokuwa tukiona enzi za Hayati John Pombe Magufuli.
Cha kushangaza amekuwa akisisitiza kauli kama ile ya Hayati John Pombe Magufuli ya kwamba “aombewe”, kulikoni?
Je, hii misafara mikubwa sio janja janja ya baadhi ya watumishi wakubwa kujilipa posho kubwa kubwa ilihali, wananchi wanalia maisha magumu katika awamu hii ya sita?
Tujadili.
anajua walimsweka mbowe kwa makusudi.
Anajishtukia
JWTZ unafahamu uhusiano wao na ulinzi wa amiri jeshi? Unafahamu Kwa kiwango gani? Unayafahamu vipi mahusiano yao na hao unaosema hawana ishu? Ni mahusiano ya kiwango gani?Don't live in a lie
JWTZ ndo kila kitu ama ndo Final, hao unaowasema hawana ishu hata kidogo kwa dunia ya sasa, sababu wamekua associated na chama kulicho na dola na in the end wamekosa uadilifu na umakini.
Nimeamini kweli kwamba Watanzania tumekosa kazi ya kufanya,kweli mtu na akili zako unakaa barabarani kuhesabu magari, hiyo nikazi ya watotto wanaojifunza kuhesabu wao hata akipita kwenye mwembe huhesabu hata maembe. Ushageuka mtoto sasa.Ni noma mkuu,nilihesabu magari,yalikua zaidi ya 50! Siku hizi ana ambulance mbili kwenye msafara wake!
Tanzania inawatu warefu, labda ujatembelea Singida, mikoa ya kända ya ziwa. Na wana pua ndefu. Tusijenge hoja kuwa kila mrefu na pua anatoka kwa jirani.Pia kuna wale wenye mabunduki ya kivita warefu pua zao zimechongoka kama wanyarwanda, kuishi kwangu Tanzania sijawahi kuona watu warefu kama wale, je ni wa vitego pia ama ni kutoka nchi za jirani? Maana hata huku mtaani hawaonekani kabisa wale watu warefu wenye mabunduki ya kivita