Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?
Hata hivyo,
ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu.
Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali kwenye ndoa siku hizi mabibi harusi wenyewe licha ya kua wajawazito lakini wana mashepu ya ukweli hatari, sijui ni vigodoro 🐒