Ndoa azifungiwi kwenye nyumba ya ibada ...sema dini za kihuni za madhehebu ndiyo zimeleta huo upumbavu .....nyumba ya ibada imeitwa nyumba ya ibada kwa sababu ni nyumba ya ibada siyo nyumba ya ndoaNi nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?
Hata hivyo,
ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu.
Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali kwenye ndoa siku hizi mabibi harusi wenyewe licha ya kua wajawazito lakini wana mashepu ya ukweli hatari, sijui ni vigodoro π
TrueMkuu siku hizi kuna uzazi wa mpango watoto wadogo wanatumia toka wakiwa shule mwisho wa siku uvimbe kwenye kizazi au mrija wa mayai huziba ukimuoa huyo utapiga mashine mpaka ukojoe upepo mtoto hupati kumbe mwenzako keshaua mayai.
Na ndio maana ni bora utie mimba uwe na uhakika kuwa haujaoa mtumba grade A
Kila kitu mpaka muweke udini??Katika jamii inayo husudu uzinzi hilo ni kawaida, kwanza kwa upande wa waisilam mwanamke haruhusiwi kufunga ndoa akiwa na mimba ila sijui kwa upande wa pili.
Kutest mitambo.Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?
Hata hivyo,
ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu.
Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali kwenye ndoa siku hizi mabibi harusi wenyewe licha ya kua wajawazito lakini wana mashepu ya ukweli hatari, sijui ni vigodoro π
Utajuaje mimba iko tumboni. Nyie bana mnazingua sana.Katika jamii inayo husudu uzinzi hilo ni kawaida, kwanza kwa upande wa waisilam mwanamke haruhusiwi kufunga ndoa akiwa na mimba ila sijui kwa upande wa pili.
What goes around comes around mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]My dota my dotaaa, hv nikiacha ufuska na wenge lote na toba si hawatamchezea hovyo! tokea nipate dota nna waswas wa kufanya ufuska kwakwel speed governor imeshuka mnoo. Niepushwe hiko kikombe kua faza wa singo maza.
Kama hamtaki mambo ya dini yaingie mbona manaenda kufungia ndoa kanisani na msiende kuifungia gest mlipofanyia huo uzinzi wenu?Kila kitu mpaka muweke udini??
Kwa hiyo siku hizi mimba huwa inajificha?Utajuaje mimba iko tumboni. Nyie bana mnazingua sana.
God forbid nahungamaWhat goes around comes around mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Swal...mimba ya chini ya miezi 2 ustaadh ataijuaje?Kwa hiyo siku hizi mimba huwa inajificha?
Kwa mujibu wa uislam ni haramu kumfungisha ndoa mwanamke mwenye mimba mpaka ajifungue ndo anaruhusiwa kumfungisha ndoa.
Na kuna sababu za kimsingi zilizo sababisha hilo na sio kwamba walikurupuka.
Hizo shepu ni vigodoro vilivyoshonewa kwenye nguo zao wala usitishike.Ni nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?
Hata hivyo,
ni dhahiri wana ndoa wengi hivi sasa, wanaenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa wakiwa na matumbo ya ujauzito, tena makubwa tu.
Ni nini siri ya haya yote, ukiachilia mbali kwenye ndoa siku hizi mabibi harusi wenyewe licha ya kua wajawazito lakini wana mashepu ya ukweli hatari, sijui ni vigodoro π
Vijana wamekosa adabu tuNi nini hasa changamoto hata ifikie mahali ili kijana atangaze ndoa ni Lazima awe ametekeleza jambo hilo?