jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Uislam upi huo,acha kujipa umuhimu kwa dini za washenzi hizo za kitumwa.Katika jamii inayo husudu uzinzi hilo ni kawaida, kwanza kwa upande wa waisilam mwanamke haruhusiwi kufunga ndoa akiwa na mimba ila sijui kwa upande wa pili.
Lakini katika Uislam anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri wa miaka 9 sio?Katika jamii inayo husudu uzinzi hilo ni kawaida, kwanza kwa upande wa waisilam mwanamke haruhusiwi kufunga ndoa akiwa na mimba ila sijui kwa upande wa pili.
Fanya vilivyo ndani ya uwezo wako; mkanye kuhusu ngono zembe, mfundishe kuwa na msimamo, na uhakikishe anapata mahitaji ya msingi wahuni wasimnunue.My dota my dotaaa, hv nikiacha ufuska na wenge lote na toba si hawatamchezea hovyo! tokea nipate dota nna waswas wa kufanya ufuska kwakwel speed governor imeshuka mnoo. Niepushwe hiko kikombe kua faza wa singo maza.
Well said mkuu ikiwa pamoja na kuonesha mfano kwa tabia njema, thanks 🤝Fanya vilivyo ndani ya uwezo wako; mkanye kuhusu ngono zembe, mfundishe kuwa na msimamo, na uhakikishe anapata mahitaji ya msingi wahuni wasimnunue.
Kisha kuwa na tumaini jema.
Unaelewa ulichokiandika?Ndoa azifungiwi kwenye nyumba ya ibada ...sema dini za kihuni za madhehebu ndiyo zimeleta huo upumbavu .....nyumba ya ibada imeitwa nyumba ya ibada kwa sababu ni nyumba ya ibada siyo nyumba ya ndoa
Tatizo lako ujui kuwa wewe ni mpumbumbavuUnaelewa ulichokiandika?
Nimeuliza tu swali sasa povu la nini?Tatizo lako ujui kuwa wewe ni mpumbumbavu