Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Kweli ww ni genge, hivi mbowe na lissu nani anashirikiana ccm? Pumbaf zako
 
Siledi lote hili ni sababu ya kuogopa uchaguzi tu!?
Huu muda unaoutumia kujificha uvunguni mwa meza na vitanda ukiandika haya si ungeutumia kumnadi mgombea wako? Maana ameshachukua form.
 
Wewe kama unamuunga mkono.mbowe ni mpumbavu moja kwa moja fullstop
 
Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika
Hii ni habari njema, chuchu ya mabadiliko haya ni TL!. FM hawezi kubadilisha chochote kwasababu amefikia optimum yake.
na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo.
Asante kwa taarifa hii
Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao!
CCM wanamtaka FM, TL akigombea, GenZii by saa 4:00 wako vile viwanja pale feri, hawana hata haja ya kusubiri matokeo!.
Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu.
Muheshimu Mzee wetu huyu, huyu sio kichaa!. Ila nyinyi watu wa ajabu sana!, mtaji mnao Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? sijui mnashindwa vipi kuutumia mtaji huu!.
Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere
Mabingwa wa siasa Afrika kiongozi miaka 20 mbunge 1!.
Kila la kheri
P
 
Hili sakata la wale akina mama wabunge maarufu kama COVID 19
Hapa nipo nilipoamini Mbowe ni tapeli.
Kuna jamaa yangu amewahi kufika nyumbani Kwa mwamba huko Hai anasema
mwamba anavuta bange vibaya mno.
 
Katapeli tu haka kajamaa. Na kaongo kaongo kachawi haka kachawa
 
Kaka kwa heshima yako. Nakuambia huyu mchumia tumbo chawa hatakuelewa hapa. Japo umeongea hambo la kweli sana. Mbowe asha zeeka ni mida apishe mtu mwenye maono mapya nguvu na udhubutu. Shida iliyopo kama kuna maslahi mapana ya kifedha hawataachia kiurahisi. Na machawa watatandazwa kumsema lissu hata kwa mambo ya kugushi. Kama haya anayoongea huyu mchawi
 
Ule upuuzi mliotunga kwa Wangwe mkafanikiwa enzi zile tambueni kwa sasa hauna nafasi tena.
Tumeshawatambua wajasiliasiasa mnaojinufaisha kwa mgongo wa CDM.
Lisu anafaa na wanachama wa kawaida tumeshajua uhuni went.
Mngekuwa na akili mngemshauri huyo Mbowe asigombee, haiwezekani chama akigeuze kuwa mali yake binafsi na nyie machawa wake
 
Hapo unaona umecheza bonge la mindgame! Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umepita akae kushoto. Hayo mabadiliko yalingonja nini muda wote hadi msubiri uchaguzi upite ndio yaje?
 
Jibu hoja jina halikusaidii chochote
kiona jitu linajibu hivyo ujue ni takataka za darasa la 7/12 failures.
Badala ya kujibuhoja analeta character assassination ujue ni takataka
 
Hapo unaona umecheza bonge la mindgame! Ni hivi, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umepita akae kushoto. Hayo mabadiliko yalingonja nini muda wote hadi msubiri uchaguzi upite ndio yaje?
Nani kaupitisha muda wa kuwa Mwenyekiti? Lisu si mnasema is very influential, aanzishe chama chake ana wafuasi milioni 50 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ , then he will sail through!

Nadhani mngelimshauri Lisu aache kuropoka, aache kuwa na tamaa ya ukubwa, aache CONFRONTATIONS na wenzake.... atumie diplomacy and the like. Huwezi ku achive political goals by confrontation ukiwa peke yako. Hakuna Mtanzania ambaye yuko tayari kupigwa risasi akafa, wengine wakasonga mbele ZINAKOTOKA RISASI. TU WAOGA WA KUFA INCLUDING YOU AND ME na ndiyo maana tunajificha kwenye fake IDs!

Ushujaa anaowadanganya nao hataufanya mbele ya polisi, TISS, JWTZ na wengine kama hao kwa mazingira ya Tanzania yalivyo. You need another approach to achieve goals and to me, achieving your goals in peacemeals... but being safe.

Sidhani kama ni sifa kuwa DEAD HERO kwa karne hizi za kisasa
 
Wee mzee wa makaratasi unayotuuziaga nimeamua kumpa mke wangu afungie vitumbua na kashata kwa wateja wake
 
Aanzishe chama chake, kwani hiyo cdm kaanzisha Mbowe, au amekaa muda mrefu hadi unaamini ni chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…