Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!




Yericko , ni mtu muongo -muongo na kupitia huo uongo uongo ndo umemfanya ajulikane.
 
Inaonekana yeriko nyerere hajawahi kuwa na akili kama alivyodhaniwa na wengi au alivyowaaminisha wengi, sema tu alijua kupangilia story zake zikaonekana kama facts kumbe sio.

Hoja ya kusema Lissu anatumika na CCM ni hoja dhaifu sana kupata kutokea.
Mtu ambae alikua katika mstari mwembamba sana wa kati ya kifo na uhai wake baada ya kupigwa risasi, ni ngumu sana kumnunua mtu huyo maana hmna kinachomuogopesha tena.

Mbowe ndiye anayetumiwa na CCM. Maana hata hoja zake za kuendelea kutaka kua mwenyekiti ni dhaifu sana na hazina mashiko.
Kitendo cha yeye kuitisha press conference na kupata coverage ya media zote pia kinatia mashaka, maana inaonekana kuna nguvu nyuma ya hili sakata ambayo inamsapoti Mbowe, Either kwa kujua au kwa yeye kutokujua.

CHADEMA wenyewe hua wanasema ukiona kiongozi wa upinzani anapendwa na CCM jua huyo sio mpinzani wa kweli, kuna namna anakua anawapa manufaa CCM kuliko upinzani wake anaounyesha.
Na kwa hili inaonekana wazi kabisa kua mbowe amewafurahisha wana CCM wengi kwa kuendelea kutaka kubaki kua mwenyekiti, Tofauti na Lissu ambaye wana CCM wengi wanaonekana kumchukia.
 
Kwasasa iko chama
 
Kwasasa iko chama
 
Angalia jinsi yeriko Nyerere anavyomdanganya huyo kijana Mpaka kijana wa watu anapandwa na orgasm
 

Attachments

  • 65e3097358946f2e9435b286f525b30b.mp4
    22.8 MB
Nina wasiwasi na njia unazotumia kuuza vitabu vyako na je unapata wateja kweli kwa uchambuzi huu?

Tukirudi kwenye mada , siamini hayo unayoita mapinduzi hata kama yalitokea hiyo June 2023 kwenye kupinga mkataba wa DP World, watu wengi hata wasio na vyama waliupinga mkataba ule

Mimi naomba mumsahauri Mbowe na mumpe tafakuri hii je kuna uchaguzi wowote umewahi kutrend kama huu wa 2025?

Jibu ni hapana , miaka yote chaguzi za Chadema zilikuwa ni walk in the park kwa Mbowe ila kuna vitu wanachama na wafuasi wa Chadema kwa wingi sasa wameona hawezi tena.

Mfano ushenzi uliofanyika 2020 for any individual of sound mind asingekubali kushiriki uchaguzi wa 2024 ambao umeenda kwa trend ile ile na mnakuja na wimbo wa tumeibiwa tena?

Yani 2005 ,2010,2015, 2020 unaibiwa tu na huji na suluhu ya kudumu, huu nk umri wa mtoto anayekaribia utu uzima why working with the same outdated tactics?

Tukija kwenye maridhiano mimi binafsi nilipinga utapeli ulioitwa maridhiano, maridhiano na kuiponya nchi ilitakiwa ni kuanzia mchakato mzima ulioiingiza serikali hii ya Samia na Magufuli madarakani 2020 urudiwe katika njia sahihi na kwa tume huru na katiba mpya, Mbowe aliahidi bila hivi vitu hakuna uchaguzi ila ushiriki wa chama 2024 ni dalili hata mwakani ni yaleyale ya tumeibiwa na mnasubiri miaka mingine 5 mshiriki na kuibiwa.

Cha mwisho katika chaguzi zingine zote miaka ya nyuma ziliendelea bila kuonyesha influence ya nje ya chama , ila uchaguzi wa mwaka huu hamshituki Mbowe aliyeitwa Mugabe, Ayatollah mmliki wa SACCOS ya Chadema anaungwa mkono na makada wa CCM kwa wingi ?

Ndio maana tangu mwanzo nimetangulia kukuuliza vitabu vyako n uhalisia wako maana nilitarajia kama unavyojiita "Jasusi" basi ungekuwa ushapata clue na mshangao kwanini mgombea wenu na mwenyekiti anaungwa mkono na maadui zenu hii ni red flag kubwa ila umeshindwa kuichambua kijasusi maana umetanguliza akili za tumbo kuliko za ubongo.

Kuhusu Lissu kushindwa ninatarajia hivyo na sitashangaa sababu popote pesa za CCM zikishaingia basi hakuna haki itatendeka .

Mbowe atashinda na mtafurahi ila watanzania kwa sasa sio wajinga[nimeona screenshot zako mitandaoni unavyokaangwa ] nina hakika watawafunza adabu 2025 na mtageuka chama cha kumuunga mkono mgombea wa CCM kama TLP maana mkijiangalia chamanj hamuoni mtu mwenye ushawishi.
 
Jamaa kwa makusudi unatmika kubomoa chama, iko wazi kuwa wewe ni mamluki , bahati mbaya sana hata FAM hajashtuka kwa tamaa zake mwenyewe, umepata fursa ili baadae ukalipwe kwa kupasua chama, TAL katoa hoja zijibuni kwa hoja sio propaganda zilijaaa chuki kumchafua, anyway mwambie anayekutuma kuwa imebakia kidogo iwe hivi👇
 

Attachments

  • 20241226_175613.jpg
    53.7 KB · Views: 3

Waleeee wanakuja ..

 
Hii picha inasema mengi!

Ngangari Ngunguri 2000 -2015 sasa ni mdebwedo!
 

Labda atawauzia shemeji zake:

 
Chadema mpya chini ya Lissu.very good.
 

Unapindua nini sasa chadema kijana? Chama hakina hata organization kinapinduliwaje? Inaonekana mwandishi hujui maana ya coup d'tat hebu Google basi uondoe aibu ndogondogo hizi? Zinapinduliwa serikali zenye dola sio hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…