Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Mkuu, tulia tu yetu macho, jamaa alijifanya kuomba 48hours ili aje na maamuzi sahihi ila akakaza fuvu kwa msaada wa mamluki na wapambe kama hawa, hili lichama litamfia
Kabisa, hawa wapambe wamempoteza Mbowe kwa maslahi yao na watakiua chama sababu ya matumbo.

Haihitaji nguvu ukipita tu mtandaoni unaona upepo unavumia wapi.

Sasa wamerudi kule kwenye njia za CCM kwamba mitandaoni hakuna wapiga kura na mara wa mitandaoni hawatopiga kura kumchagua Lissu huku hongo zimesambazwa na Abduli na imethibitika.
 
Mnajisumbua Bure MBOWE atamshinda kwa kishindo kikuu
 
Uchaguzi ni namba, siyo kelele mtandaoni, Lisu hakujiandaa kumshinda Mbowe.

Turufu za kisiasa uchaguzi wa ndani unapoanza lazima uwe na mtandao wako wa kuja kukupigia kura, nilitamani sana Lisu ndio adeal na wahuni wa ccm lakini its too late, huu siyo uchaguzi wa TLS, Lisu hawezi kumshinda Mbowe, mwenzake alishaziandaa kura zake kwenye mikoa na kanda.
 
Uchaguzi ni namba, siyo kelele mtandaoni, Lisu hakujiandaa kumshinda Mbowe.
Namba hizo hizo ndio Chadema wamekuwa wakiibiwa na majizi ya CCM miaka yote ?
Mtandao huu kwa sasa utampa ushindi Mbowe ni wa pesa za Abdul ndio maana nimesema sitoshangaa Lissu akishindwa ushawishi aliobaki nao Mbowe ni wa kifedha ila ile organic haipo tena pitia mitandao tu utaona .

Binafsi mimi pia support yangu kwa Mbowe nikiri niliiwithdraw pale chama kilipokubali kushiriki huu uchaguzi ulioamuliwa kwa matokeo ya Mkwe kumfurahisha mama mkwe.
 
Umeandika mambo mengi ila ni vague. Halafu punguza kimbelembele kwa Mbowe.
Chief huyu jamaa kama si mamluki basi kuna namna push up na pump za mbowe zinamuhusu, maana anayoyasema hayaaksi uhalisia wake kabla TAL hajachukua form
 
Kiongozi, wewe mbona, unajitoa ufahamu, unakuja na Maandiko ya kishamba yaliyojaa propaganda nyepesi.

Hivi wewe unafikiri watanzania ni wajinga??
Endelea na RIWAYA pendwa zako, vitabu ambavyo ume copy na kupaste!!

Mambo bya CHADEMA, unayoandika ni ya kufikirika sana.

Huu ndo mwisho wenu wa kuramba asali, Lissu ndo habari ya mjini!!

Lissu ndo Mwenyekiti ajaye,Narudia Tena, endelea na riwaya pendwa zako, hapa jamii forums watu wanajitambua.
 
Yeriko unaitaja system nyuma ya Lissu? Kwani kilichokuwa nyuma ya Mbowe ni nini kama sio hiyohiyo system?

Umeongea here say ambayo na sisi tunaweza kuongea tu, tulitegemea uje na concrete evidence kussuport ulichoandika vingenevyo ni porojo porojo ambazo kila mtu anaweza kuongea.

Wabunge COVID 19 ni wake wa viongozi wakubwa ndani ya CDM na wengine ni wachumba kabisa, akina mama wamekuwa wakila posho miaka nenda rudi, huko kwenye vikao vyenu mmeshawahi kuwahoji wenzenu au hata kuwatoa kwenye nyadhifa zao ili kuondoa sintofahamu na kuavoid conflict of interest, lakini pia kuweka sawa image ya chama.
 
CCM wamewekeza bilioni kadhaa kuhakikisha kuwa Mbowe anaendelea kuwa Sultan ndiyo hizo wamegawiwa kima Yericko Nyerere na chawa wengine huoni kutwa kucha wako mitandaoni kumsifia Sultan na kumbagaza Lissu. Mbowe amekuwa chombo kiteule cha CCM kupoozesha mageuzi ya kisiasa nchini.
 
Mimi nimekuelewa kuwa mbowe anang'ang'ania Chama ili aje aiuze CHADEMA ama tuseme AIAZIME kwa wana chama wa kuleee... mfano wa Lowassa come 2025. Ili apate pesa as usual maana anajua TAL hawezi fanya hivyo kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…