Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

Nchi hii ni kichwa cha hayawani kabisa
 
Lile daraja la juu libadilishwe jina futa hiyo mfugale.
 
Legacy ya Mwendawazimu kwisha kabisa.
Ingekuwa imeisha usingepoteza muda wako kuandika, imeisha, imeisha. Ungeandika kuhusu mambo mengine, ila kwakuwa unajua ipo na inawatesa sana ndio maana kucha kutwa mnashupaza shingo, imeisha, imeisha!!!!!
 
Huu sio wakati wa kurudi nyuma tusonge mbele ndugu zangu 🐒
 
Hapa tunaongelea Rais wa nchi
 
Utawala wa maggufuli ulikuwa wa kifisadi haswaa
 
Hapana,tulitaka tumuache apumzike,hila kwakuwa wafuasi wake wanamtukana Mama,acha maovu na ufisadi aliofanya uonyeshwe
Hakuna anaemtukana Samia, watu wanaonesha mapungufu yake ya kumtegemea Kikwete katika kutimiza mjukumu yake!! Watu hawataki Samia aturudishe kwenye machungu ya ufisadi wa enzi ya utawala wa huyu mkwere, mpaka wana ccm wakawa wanaogopa kuvaa shati zao za kijani jinsi walivyo kichukia hicho chama!!
 
Magufuli ndio alikuwa fisadi mkubwa kuliko wote waliopita
 
Mzee wangu alinambia mfugale ni upawa wa magu,sijiamini,niliona ni uhodari tu wa mfugale ndiyo maana kila Chaka anatimba
 
Kipindi kile leka tutigite inatoka,biti ilikua laki 3 tu!!..zito alikosa hela mbuzi Hadi afadhiliwe na dau!!?
 
Dowans , Escow na zingine hii nchi ina wezi Kila sehemu na hata pesa za tozo wanakula tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…